Recent content by stars

  1. S

    Haileti maana!!

    Hata ungekuwa wewe ni director kwenye business yako, ukaajiri watu wa kukusaidia kazi zako; kama uhasibu, masoko, ghala, nk, je, utaweza kujua kila jambo linaloendelea kwenye kitengo husika? Ni vigumu kujua yanayoendelea chini ya kapeti, vinginevyo mtu akutonye. Hata kama Mheshimiwa Rais...
  2. S

    Je, wewe ulikuwepo ndani ya hili jengo? Wewe ni Mjinga

    Sikio la kufa halisikii dawa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Natafuta DIY enthusiasts humu tubadilishane mawazo

    Kama unaweza kuvifanya vyote hivyo kwa ustadi mkubwa (kama professionals), na bila kufundishwa, bila shaka una elements za u-genius. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Je, wewe ulikuwepo ndani ya hili jengo? Wewe ni Mjinga

    Kuna jamaa mmoja alikuwa hajuwi kucheza draft; anafungwa na kila mtu, lakini hakomi, yeye anataka kucheza draft na kila mtu japo anafungwa. Ndo tulikuwa tunamwita TUTUSA! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Rais Samia ile Katiba pendekezwa ya Mzee Warioba si ipo? Kwahiyo tusiendelee nayo na tusipoteze Pesa katika Tume unayotaka Kuiunda?

    Mkuu wa mkoa au wilaya anatakiwa kuwa mtu mwenye kiwango kizuri cha elimu ili aweze kutoa mapendekezo yenye tija ya maendeleo ya mkoa/wilaya yake, akishirikiana na mkurugenzi. Uongozi wa kuchaguliwa kwa kura haufuati vigezo vya elimu bali ni uwezo wa sera za kujiuza kwa wananchi. Sent using...
  6. S

    SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

    Ikiwa wanufaika waliendelea na masomo ya juu (Masters, PhD, etc) kwa kutumia transcripts hizo, degree hizo nazo hazitatambuliwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    Waislam kwanini mnaangalia mwandamo wa mwezi?

    Dini haitakufa, itaendelea kuwepo milele! Science ni mambo au matukio ya kidunia, na binadamu anaitafuta science au tekinolojia ili kumuwezesha kurahisisha maisha yake. Kwa mfano, science na tekinolojia ilimsaidia binadamu kugundua au kutengeza gari, ndege, na meli ili imrahisishie kutembea...
  8. S

    Shikilia ukweli na haki, usijishikilie kwa Mtu

    Hapo hakuna contradiction, labda hukumuelewa; kusema wanaweza kutetereka, kuteseka, na kufa, lakini mwishoni watabaki kuwa washindi maana yake ni kuwa hata akifa bado atabaki kuwa wa mfano na icon yake haitapotea katika kumbukumbu za watu. Huyu atakufa mwili tu lakini matendo yake na jina lake...
  9. S

    Magaidi na wauaji wa kukodiwa, je hawa viumbe wa silika za hisia za huruma na ubinadamu?

    Najaribu kujiuliza baadhi ya maswali; Neema (Martha), alipopigiwa simu, ambayo namba ilikuwa ngeni, japo inasemekana mpigaji aiiiga sauti ya boyfriend wake (Neema) na kumfanya Neema kutoka ndani ya kanisa na kuwafuata wauwaji. Hivyo, ni wazi kuwa, alitegemea angemkuta boyfriend wake katika eneo...
  10. S

    Tafuteni njia bora, Vicoba ni upotevu wa pesa!

    Ukiweka kwenye account inayokupa interest, siyo mbaya. Mbaya ni kuweka kwenye account ambayo badala ya kuzalisha, yenyewe inakucharge. Ukishindwa kuweka kwenye fixed account, basi wekeza kwenye assets/estates.
  11. S

    Wiki mbili zijazo nitautembelea mkoa wa Mwanza. Wenyeji naombeni kukaribishwa

    Katembelee daraja la Busisi-Kigongo, halafu utupatie mrejesho lilipofikia.
  12. S

    Eti wataalam, ndoto hii ina maana gani?

    Kuna matukio makuu matatu kwenye ndoto yako. Mwalimu anayekufundisha na kumuelewa sana (vizuri), watu kukupeleka police, na kukutana na watu wanaokuangalia tu wakati unamlilia mkeo. Una marafiki wa kweli, ambao hawa unaoongea nao vizuri na wanakupa ushauri mzuri na kukusaidia pale upatapo shida...
  13. S

    Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

    Huyu sio binti wa Dr. Towo? Ila binadamu tuna roho mbaya sana! Hivi kweli unaamua kumuua mwenzako kwa kumwagia petrol na kuwasha kiberiti hadi afe?! Kosa alilofanya halikuwa na adhabu mbadala? Pole familia ya Towo. RIP dada yetu.
  14. S

    Kuna bomu linakaribia kulipuka muda wowote

    Unamaanisha mitaala ilenge elimu ya kujiajiri?
  15. S

    Karibu Tujuzane mbinu za kuwa pilot

    Penye nia pana njia. Uwezo mdogo wa familia isiwe chanzo cha kukata tamaa. Watu wengi walitoka familia maskini, lakini nia yao iliwafikisha walipopahitaji. Kwa bahati nzuri, sasa hivi fani hiyo inafundishwa hapa nchini na baadhi ya vyuo vyetu! Hii nadhani inapunguza hata gharama ya mafunzo...
Back
Top Bottom