Recent content by Star_boy

  1. Star_boy

    Nafasi za kazi kituo cha Afya Temeke

    Nafasi za Ajira Kituo: Wakuru Specialised Clinic Mahali: Temeke, karibu na Hospitali ya Temeke Wanahitajika wafanyakazi wafuatao: Daktari Bingwa (Internal Medicine) Nurse (ANO) Laboratory Technician Pharmacy Technician Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali piga simu kupitia namba: 0783070792.
  2. Star_boy

    Wanahitajika medical doctors (md)

    URGENTLY NEEDED Medical Doctor (2) Requirements: *Valid licence *Good in obs, gyn and surgery. Location- kijichi DSM Send your CV 0684261334 Attractive salary Deadline 7/9/2024
  3. Star_boy

    Nafasi ya kazi Uuguzi, Registered nurses

    Wanahitajika RN 3 (Diploma holder) mwenye active licence. Upendeleo utakuwepo kwa mwenye uzoefu wa RCH na Labour service vilevile mkazi wa Temeke. Contact.0715881977 . Ukipata usisite kutoa mrejesho Mungu Awaongoze.
  4. Star_boy

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    kata ya kitunda majina zaidi ya 600+ mpaka sasa bado wanaendelea na usaili
  5. Star_boy

    Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

    Ngoja namim nijarib kupunguza machungu yangu hapa kwenye jamvi, mwaka 2014 nipo chuo mwaka wa 2 nilikuwa napiga harakat zangu nikafanikiwa kuweka akiba sh 1.2M nikaenda kununua pikpik used ikaanza kazi baad ya miez 6 nikaongeza zikawa 2 ila nilihama eneo nilikuwa naishi na kwnda sehem nyingne...
  6. Star_boy

    Kitanda kizuri kinauzwa 5*6, bila godoro

    Bedsides unauza?
  7. Star_boy

    Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

    Hii jinsia ya kike n complicated sana wakuu maana nlikuwa na nae mmoja hv alinishangaza sana alikuwa anapenda sana starehe out kila weekends, mzigo nilipewa kila napouhitaji anauleta mwnyw gheto, alikuwa mtumiaj mzur tu anabdil style za nywele kila week, bundle la 2,000 kila cku anashinda...
  8. Star_boy

    Msaada: Mtoto wangu anatukana sana matusi ya nguoni nifanyaje ili aache?

    M nakushauti kama n uswahilin hama nenda kaish sehem ambazo zina ustaarab kdogo kwa malez ya mwanao, na kama haiwezekan basi subiria uvune unachokipanda kwa mwanao
  9. Star_boy

    Rais Magufuli kutembea na kipaza sauti chake kwenye Madhabahu yetu ni kutukosea Heshima, sisi TAG si Wauaji

    Dunian hamna wakumwamin sabab hat huko kanisan bnadam sis wenyew ndyo tunaoenda, na bnadam ana mengi kwakwel ukiangazia huyo n Rais wa nchi usalama wake ndyo kpaumbele haijalish mahali alipo.
  10. Star_boy

    Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

    jamaa nlimaliza nae alikuwa kiongozi mzuri kwakwel Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Star_boy

    Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

    Nilisoma na Stamina pale Mbezi beach high mi nilkuwa form 5 ye form6 miaka ya 2011, jamaa alikuwa anakuja scul kwa manat sana na alikuwa anaperform kwny bonanza za shule Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Star_boy

    Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

    Ni hv kwa kifupi tu huko nyuma kuna tukio kubwa sana lilitokea na hadi leo athari zake zinatawala maisha yetu.tukio hilo ni interaction kati ya binadamu na viumbe fulani wengine wa Mwenyezi Mungu(huwa tunawaita tu malaika hii inatupa upofu sana)walikuwa 200 wakiongozwa na mkuu wao Azazel...
Back
Top Bottom