Tafuta eneo 10m.
Funga poultry cages 5, 30metres 15m
Chini yake chimba vertical fish reservoirs kwenye kila cage 15m
5m tafuta kuku, fuga and chini 2m weka samaki (mbegu), zile wastes kutoka kwenye cages za kuku zitakuwa chakula cha samaki.
3m endeshea.
Possible income kwa siku 60 ni 20m
SEHEMU YA TATU (3)
"Ina maana tungeshindwa kuongea tukiwa pale? Kwanini unapenda kunipelekesha. Kama sikutaka kuondoka, yani kuongea vile ndio ukasirike Stan?" Aggy aliniambia kwa sauti ya Upole; nikamtazama usoni nikiwa nimekasirika, nikamwambia "Twende nikupeleke kwako"...
Tabia ya kulalamika lalamika na kujishuku waachie watoto wa kike; haipendezi. Aliyekwambia uende WhatsApp nani? Na nani aliyekuita kusoma hiki kisa? Sina masaa 25 kwenye siku mimi.
SEHEMU YA PILI (2)
...............................................................................
"Naelekea kwenye kikao, kumbe ndio unakaa huku? Naomba nikuone nikitoka" Text Iliingia.
Nikasoma kwa ku smile, kiukweli sio mtu ninayemchukia, naomba kuthibitisha kuwa, Aggy ni moja kati ya...
1 Pet 3:7 SUV
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.
........................................................................
Jumatano moja ya mwisho wa...
Habarini wana jamvi,
Leo nimeona si vibaya niungane nanyi kwenye jukwaa hili kwa ajili ya kuomba tenda/kazi ya muda ya kufanya nyakati za Usiku.
Kazi pendekezwa ni pamoja na kwenye.
Mahoteli/Migahawa.
Yards/Car Wash
Maduka
Viwandani
N.K.
Sifungwi na mapendekezo yangu, ikiwa inapatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.