Mheshimiwa Waziri wa Afya, Ummi Mwalimu,
Napenda kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naamini kwamba bado uamuzi haujafikiwa kuhusu "Universal Health Insurance Fund" ambayo itajumuisha watanzania wote.
Nafahamu pia kuwa yapo mapendekezo ya kuanzisha "regulator" wa huduma za...
Mheshimiwa Spika,
Naomba niseme kweli bila kupapasa macho kuhusu yanayokupata Bungeni sasa hasa kuhusu Waziri wa Fedha na Uchumi. Kwanza, ni wazi kabisa kwa ujumla wabunge ulionao Bungeni baadhi yao ni weledi sana (akiwemo Mpina). Na kwa bahati mbaya sana unao pia wabunge na mawaziri...
Kwanza, napenda kumpongeza Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Aikael Mbowe kwa uamuzi madhubuti na sahihi kwa kuwafukuza uanachama kundi lote la Covid 19. Adhabu uliowapa inaonyesha wazi kuwa usaliti wao ni hatari kwa CHADEMA. Pili, niseme kuwa nadhani adhabu hiyo haitoshi kwa sababu upo uwezekano...
Nadhani Wakuu hapa jambo la kuangalia sio kupeleka majina tu huko Bungeni, bali kuangalia CHEDEMA wakipeleka majina Bungeni maana yake ni nini? CHADEMA wakipeleka majina kwa ajili ya viti maalum ni sawa na kahalalisha udhalimu wote uliofanywa wakati wa uchaguzi mkuu uliopita. Halima Mdee ni...
Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukichagua mpinzani kutatokea vurugu na vita, tena amekuwa akiienda mbali kwa kusema "uongozi haujaribiwi". Naomba tume NEC imuite akajieleze kuhusu upotoshaji wake. Pamoja na hilo pia ametoa hongo ya barabara kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi...
Gharama za uendeshaji wa serikali za majimbo utakuwa ni sawa kabisa na kama inavyoendeshwa hivi sasa na serikali kuu. Na vyema ikaeleweka ya kuwa, kwa uwepo wa serikali za majimbo, itakuwa si kwamba fedha zote zipatikanazo kutoka katika jimbo husika zitatumika zote hapi hapo tu. La hasha! Kwa...
Watanzania wote wanajua kwamba ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Chato ni ubinafsi uliokithiri wa kiongozi Magufuli. Hakuna sababu kwa nini kiwanja cha Mwanza hakikujengwa kwanza. Kwa kigezo cha uchumi Mwanza inaongoza, Kwa kigezo cha Madini Mwanza inaongoza, Kwa kigezo cha utalii Mwanza inaongoza...
P
Prof Kabudi, hili sio suala la kuzungumza bila ushahidi. Ushahidi wa kwamba tuliwapigia Djibuti upo hapa chini. Ni vyema kusema ukweli kwani hat a majirani zetu watakuheshimu zaidi.
Ukweli ni kwamba TCRA ni wala rushwa wa hali ya juu, kwa sababu kama sheria wanayoitumia haifai basi wangefuata utaratibu wa kupendekeza mabadiliko ili itungwe sheria mpya inafaa. Ukiangalia sababu TCRA wanazotoa kwa kutoweza kuitekeleza sheria iliyopo hazina msingi wowote. Hii ni changamoto kwa...
Wakuu,
Niliwahi kujiuliza maswali mengi kuhusu Medard Kalemani-Mbunge wa jimbo la Chato na Naibu, Waziri nishati na Madini. Dr. Medard Kalemani kabla ya nafasi aliyonayo hivi sasa, alikuwa mwanasheria mkuu katika hiyo hiyo ya Nishati na Madini. Hii ina maana kwamba wakati wizara hiyo ikiongozwa...
Wakuu,
Tundu Lissu ni mpinzani, na wajibu wa wapinzani katika siasa ni kuikosoa serikali iliyoko madarakani.
Alichofanya ni kufichua kilichokuwa kimefichwa na serikali kuhusu kuchelewa kwa ndege iliyonunuliwa kwa pesa za walipa kodi. Sasa msemaji wa serikali anamshutumu Tindu Lissu kwa kutokuwa...
Wakuu,
Watanzania wengi hawakuzoea kulipa kodi. Hii inatokana na sababu nyingi. Mojawapo ya sababu hizo ni kwamba kwa muda mwingi imekuwa vigumu wananchi kuridhika na matumizi ya fedha zinazotokana na hizo kodi. Sababu nyingine ni kutokuwa na uelewa mzuri wa jinsi kila mmoja anavyowajibika...
Wakuu,
Inawezekana kabisa Raisi wetu bado hajiamini kuwa yeye ni Raisi na ni mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Hii inajidhihirisha jinsi anavyotoa hotuba zake kila sehemu anazokwenda. Ukisikiliza hotuba zote alizotoa huko mikoani ni vigumu kupata ujumbe wowote aliotaka wananchi...
Wakuu, salam kwenu.
Hili suala la vichwa vya treni vilivyoshushwa bandarini na kuambiwa hatujui mwenyewe ni jambo la aibu na fedhea sana kwa nchi inayojitawala kama Tanzania. Haingii akilini kwamba vichwa vya treni 11 vinashushwa na hatujui ni vya nani. Pamoja na vyombo vyote vya dola...
Ukiangalia yote yaliyotokea na yanayoendelea kutokea huko mkoa wa pwani kuhusu mauaji ya askari, viongozi wa CCM na wananchi wengine, ni dhahiri kuwa wanaofanya mauaji hayo ni watu wenye mafunzo ya kijeshi. Hii inajionesha jinsi wanavyowaua wenzetu hawa. Mimi kwa haraka haraka naamini wanaofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.