Recent content by Standards Person

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanamichezo na wadau wa mpira wa miguu njooni tujadili nini kifanyike ili timu yetu ya Taifa ipige hatua zaidi?

    Kwani kocha akipanga kikosi kibovu watanzania pia tunajua mchezaji gani anaweza yupi wakawaida
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wanamichezo na wadau wa mpira wa miguu njooni tujadili nini kifanyike ili timu yetu ya Taifa ipige hatua zaidi?

    Nasikia kuna msanii aliwahi kusema kirefu cha TFF ni Tanzania Football Failure. Naomba wanaojua lugha ya malkia wanisaidie
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanamichezo na wadau wa mpira wa miguu njooni tujadili nini kifanyike ili timu yetu ya Taifa ipige hatua zaidi?

    Eti Kapombe anaingia dakika za mwisho. Aibu yaooooo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wanamichezo na wadau wa mpira wa miguu njooni tujadili nini kifanyike ili timu yetu ya Taifa ipige hatua zaidi?

    Kwani huyo Samata anachezea simba au yanga?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hospitaiili ya wilaya Lushoto wakataa kumpa kitanda mgonjwa aliyevunjika mguu

    Sasa wakiripotiwa kuna tatizo gani kwani siwamefanya mambo ya hovyo wenyewe
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hospitaiili ya wilaya Lushoto wakataa kumpa kitanda mgonjwa aliyevunjika mguu

    Kwakweli huo niunyama kumuanika mgonjwa mapokezi muda wote huo. Kwani wakimpa kitanda inawagharimu nini
  7. S

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Acheni utani na klabu za watu. Mtashtakiwa
  8. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kurudisha simu yangu iliyoibwa

    Tupe namba za huyo polisi tumpigie tumwambie aache usumbufu
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanuni 9 ambazo kila mwanaume inabidi azijue

    Piga nyundo ponda kabisa uachane na tabu na maradhi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu wa nchi yetu si salama kwa kizazi cha kesho. Ni hatari mno. Hebu tazama haya

    Anachezatu na mkwapa wake anajiona yumo kwelikweli kumbe cherema tu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu wa nchi yetu si salama kwa kizazi cha kesho. Ni hatari mno. Hebu tazama haya

    Eti watoto wanaimba upuuzi kaka yao anachezea kwapa. Haya yapo Afrika bara ambalo liliitwa bara la giza
  12. S

    JamiiForums Tanzania Walioanzisha kodi leo wanaziita kandamizi na kuagiza zifutwe

    Wanatengeneza matatizo na kuyatatua wenyewe. Kiini macho
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Waarabu kugawa nyama misikitini imekaaje?

    Mbona hata serikali inatoa msaada wa vyakula kwa wahitaji? Acha wenye uwezo wasaidie wanaohitaji
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Waarabu kugawa nyama misikitini imekaaje?

    Idadi ya mifugo inayochinjwa sio tatizo maana inatokana na uhitaji. Linhekuepo tatizo kama ungeelezea NAMNA wanavyochinja kutokana na imani yao. Unaposema unashangaa wakitoa chakula na kitoweo kwa watu hujui kama wamekidhi hitaji lamsingi la binaadam? Ukisema bora mtu apewe mbegu ya matunda...
Back
Top Bottom