Mzee hakuna sehemu yoyote inayozungumzia harmagedon ni vita dhidi ya Marekani, kumbuka msingi wa neno harmagedon ni Israel ambapo kuna bonde linaitwa megido na kwa kifupi vita ya harmagedon ni mataifa ya dunia hasa ya kiarabu pamoja na Urusi na China kupigana na Israel kwa nia ya kuiangamiza lkn...
Kwan watumishi wa Mungu wamekatazwa kuonya watawala wanapokosea? Nabii Eliya alipambana uovu wa mfalme ahabu na jezebel, Yohana mbatizaji aliuawa na Herode kwa kukataa uovu uliofanywa na Herode, Paul mtume aliuawa na watawala wa rumi,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.