Recent content by sseni

  1. sseni

    Baba akiniulizia muambie nimetoka nitarudi wiki ijayo. Uwaangalie wadogo zako

    Shida ni umeshampa nafasi ya kukuletea ugali nyumbani, lazima uvumilie tuu hamna namna kwa kweli
  2. sseni

    Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Tunatuma wapi hizo taarifa zetu madereva
  3. sseni

    Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima

    Kuna mmoja kijora hakina Mwanandani kabisa maboga yanacheza cheza kama anaenda kucheza chura kwenye kigoma pale Buza....! Na kwa pembeni Kuna vitoto viwili vya 2000 viko masuruali Mabwanga na vi tishet vyeupe hahaha...
  4. sseni

    Je Rais Samia atavunja mwiko wa historia ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu wa Tanzania kwa miaka 15 mfululizo baada ya Mwl. Nyerere?

    Na kwa kuwa ndiye raisi wa kwanza wa kike atavunja tuu rekodi na tutamtambua kama Mama wa taifa
  5. sseni

    Zifahamu njia zitumikazo kuwarudisha tena extinction animals kama dinasours na wengineo

    Ila PoMbE mbaya sana hasa ukilewea chumbani peke yako...
  6. sseni

    Katibu Wizara ya Nishati Felchesmi Mramba: Umeme unaokuja kutoka Ethiopia utakuwa na hasara lakini hiyo hasara haituhusu

    Mimi nimeelewa kuwa, unafuu upo kwa serikali na mfumo wa wapigaji ila wewe na mimi makamuzi ni kama jana na juzi tuu...! Kama unanunua kitumbua kwa Mama Mwajuma wa buza tsh 50 nakuja kukuuzia Mama Precious wa kishua tsh 500.. sijui umenielewaa...!!!
  7. sseni

    TAKUKURU kamateni trafiki wala rushwa

    Nimefukuzwa kazi kwa sababu ya elfu mbili nineambiwa nilipe elfu mbili ili aongee na muajiri wangu niendelee kufanya kazi takukuru namba zenu hazipatikani
  8. sseni

    Nina tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyenye rangi nyeusi

    Dudu kubwa na nyeusii tiii.... vp unapenda mkuu....!!?
  9. sseni

    Watoto wa 2000 wanapenda wanaume matajiri

    Tigo hii ya kutolea hewa chafu au tigo Yas...!?🤪
  10. sseni

    JET LI amkabidhi mkewe umiliki wa mali zake zote

    Miaka yote hiyo anakimbilia wapi kama kasimama kutafuta kwa jina lako mpe hadhi inayostahili Big up Jet lee
  11. sseni

    PreGE2025 Lissu: Nikishindwa nafasi ya Uenyekiti CHADEMA nitabaki kuwa mwanachama wa kawaida, siendi popote

    Wanajua wanachokifanya na uchaguzi ni kumpa Lissu uenyekiti ndo maana wanachezezha jukwaa
  12. sseni

    Je, anayoyasema kiboko ya wachawi kuhusu Watañzania kuwa wendawazimu yana ukweli kiasi gàni? Je, yeye ni wa kwanza kutamka maneno kama hayo?

    Ni kweli ila shida ni majibu ya watanzania kisahau uhalisia wao, imani unayotakiwa kuifunza nyumba yako na jamii yako unaiweka kuamini ushirikina wa kisasa kupitia dini amini Mungu yupo aliyekufanya uzaliwe na utakufa halafu ishi maisha mema usimkwaze mtu mwingine
  13. sseni

    Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

    Natamani nikupe hata likes 10. Wanajizima data ila wanajua kinachoendelea
Back
Top Bottom