Recent content by Ssayari

  1. S

    wanafunzi wa shule za serikali waliofaulu vizuri kuachwa kuchaguliwa shule za bweni.

    Hilo nalo neno ila utofauti upo. Boarding ni mazingira mazuri mno ya kusomea kwa mtoto anayejitambua. Huku mtaani (shule za kata) mazingira si rafiki kabisaa kwa kusomea.
  2. S

    wanafunzi wa shule za serikali waliofaulu vizuri kuachwa kuchaguliwa shule za bweni.

    Mungu Mkubwa, kumbe tupo wengi tuliogundua hili tatizo! Ahsante sana Bwana OTHMARINE na wengine waliogundua haya matabaka. Ndugu zangu wanajamii forums, Mimi ninao mpango wa kupaaza sauti juu ya hili tatizo hadi kieleweke, ili watt wa wanyonge nao wapate haki,kwani inaonekana wazi hili tatizo...
  3. S

    wanafunzi wa shule za serikali waliofaulu vizuri kuachwa kuchaguliwa shule za bweni.

    Safi sana kwa kuongeza point ya msingi. Kama inajulikana bayana kuwa hata wakiwachagua huwa wengi wao hawaendi kwanini serikali inaendelea kuwachagua? Ili hali inajulikana bayana hawataenda,hivyo huziba nafasi za wenye uhitaji tu? Na cha ajabu hata wanapoacha kwenda hizo nafasi zilizoachwa...
  4. S

    wanafunzi wa shule za serikali waliofaulu vizuri kuachwa kuchaguliwa shule za bweni.

    Mmmmh Unaroho ngumu!!!!!...... Kaaaa nini....!!!! Nahisi wewe ni miongoni mwa wenye shule BINAFSI au ni MTU uliyejipatia Mali nyingi kwa unyang'anyi,rushwa au ufisadi,magendo na kuua watu! Kwahiyo wewe ni jipu, unahitaji kutumbuliwa. Na mwisho wako ni Jehanamu!
  5. S

    wanafunzi wa shule za serikali waliofaulu vizuri kuachwa kuchaguliwa shule za bweni.

    Hili ninalolisema Mkuu ni la kweli kabisaa, fuatilia utaona! Link sina, ila wanachofanya ni kila kata hapa nchini wamebandika matokeo ya kata kwenye vibao vya matangazo hapo Katani. Mkuu km unaouwezo na wengine wenye uwezo waufikishe Uzi huu ngazi za juu waufanyie Kazi ili haki sawa hapa...
  6. S

    wanafunzi wa shule za serikali waliofaulu vizuri kuachwa kuchaguliwa shule za bweni.

    Ninasikitishwa sana na hili tatizo, kwa wanaofuatilia hakika watakuwa wameshaligundua hili tatizo. Katika uchunguzi nilioufanya niligundua kuwa wanafunzi waliofanya vizuri sana tena kwa jitihada BINAFSI zao na walimu katika shule za msingi za serikali hawakuchaguliwa wote kwenda shule za...
  7. S

    Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

    Equity bank, inakopesha wafanyakazi?
  8. S

    Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

    Kuna jamaa Yangu alienda kuulizia ili apewe mkopo ambapo alianzia CRDB akaambiwa kwa mshahara wake anaweza kukopeshwa milioni 10 kwa muda was miaka 5 akaenda tena NMB akaambiwa mshahara huohuo anaweza kukopeshwa milioni 8.3 kwa miaka 5. Sasa inakuwaje mshahara huohuo mkopo utofautiane?
  9. S

    Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

    Wanajamii, kwa wale wenye uelewa mzuri kuhusu hizi taasisi za kifedha,ni ipi hasa inatoa mkopo mzuri na kwa riba kidogo? Swali lingine ni utaratibu wa paying off loan, yaani ulichukua mkopo baada ya miezi au miaka imepita ukapata pesa ukaamua kwenda kuwarudishia pesa zao Benki kabla muda wa...
  10. S

    Elimu bure bila kuboresha maslahi ya walimu

    Una uhakika na unachokisema ati Mimi ni "Mwalimu uchwara?" Unauhakika walimu wanaoenda likizo mwisho wa mwaka hakuna ambao wamegawiwa vipindi katika madarasa ambayo Afsa Elimu ameagiza yafundishwe wakati wa likizo? Jibu lake hapo ni kwamba lazima walimu waliopaswa kwenda likizo mwisho wa...
  11. S

    Elimu bure bila kuboresha maslahi ya walimu

    Wakuu hivi ELIMU bure bila kuwajali walimu kweli lengo litafikiwa? Watz wanafurahishwa na kauli hii lakini je wanajua faida na hasara za ELIMU bure? Kwa taarifa ya uhakika niliyo nayo walimu wa Mwanza jiji katika shule za msingi wamelazimishwa na Afsa elimu kufundisha bure madarasa ya la pili...
  12. S

    Walimu shule za mazoezi wabaki njia panda kwa muda mrefu baada ya ugatuzi.

    Ndugu zangu wana jamii forum nisaidieni kufikisha ujumbe huu. Walimu wa shule za mazoezi wametelekezwa na mwajiri wao Mara baada ya kitu kilichoitwa UGATUZI. Walimu hawa hawana mwajiri rasmi mpaka sasa coz mwajiri wao wa awali ambaye alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu kutowatambua walimu...
  13. S

    January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

    Hahahahaaaaa, ccm sasa ndiyo imekuwa kama chama cha upinzani, hakika watafanya kazi kwa maslahi ya wananchi sasa, tabia za ccm za zamani zote ziko ukawa
  14. S

    Nimeamini kuwa CCM inaondoka madarakani

    Nashukuru kwa upinzani uliooneshwa hakika unaifanya ccm kufanya kazi kwa lajili ya watanzania
Back
Top Bottom