Mnajkuta sana nyie.
Ww s ulikuw unashangilia mm kupigwa na wengne!!!!?
Sasa mim nashangilia kukugonga ww.
Nilikuwa nashangaa vimtu eti city saiv mdebwedo, khaaaaa!!!
Kweny mpira kuna kupanda na kushuka,,,, sasa Mimi nilishuka kidgo tu,,,,.. vimidomo vireefu vyeusi kama kunguru.
Niliwaambia...