Msaada kupata movie zilizotafsiriwa na Rufufu

SSA

Member
Dec 6, 2018
43
17
Mimi ni shabiki mkubwa na mpenz wa kuangalia na kusikiliza movie zilizotafsiriwa na CAPTAIN DERICK MKANDALA RUFUFU tu,
lakini sizipati siku hiz.

Naombeni msaada wenu yyt atakaeweza kunisaidia anisaidie niweze kuzi-afford. Maana sizioni madukani Wala mtandaon.

Guys help, I lov the sound of this guy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpigie huyu anaitwa DJ Mac ni mtafsili wa movie 0713134170

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kwa mfumo wa vifaa vya kisasa hizo muvi kuzipata itakuwa shida maana zilikua katika mfumo wa VHS.., sisi acha tupambane na kina Murphy Dj , Afro, Juma Khani n.k

Jioni njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom