Recent content by Ss Jr

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kauli tatu za ajabu sana Tanzania kuhusu vifo vya viongozi

    Unataka nani alaumiwe kama siyo CCM? Acha wafu wazike wafu wao, basi.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi hakuna Mwalimu anayejua hatima yake ataichagua CCM

    Hujaweka posho za kila kikao
  3. S

    JamiiForums Tanzania Serikali isipuuze malalamiko ya Ugumu wa Maisha

    Uko sahihi kabisa kamanda hali ya maisha ni tete
  4. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kuweni makini na rushwa na ufuatiliaji

    Kwani rushwa iliwahi kutokuwepo, au ulikuwa unaishi nje ya Nchi!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Unga kiroba kilo 25 ni shilingi 42000

    Kwani Mama aliwekwa na nani?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kila anaepewa nafasi anatulazimisha tumuunge mkono Rais Samia

    Ndiyo maana CDM imebeba falsafa ya Nguvu ya umma. Silaha ya mwananchi ni hoja na si vinginevyo.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi hela wanafanyia nini, mbona huduma za jamii na maisha ya wananchi bado ni duni?

    Utasikia wanasema Tundu aAntphas Lissu Mughwai ni kibaraka wa Mabeberu, sasa wameumbuka. Kati ya TAL na hao nani kibaraka wa Mabeberu?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA

    Makamanda People's! Kuanzia sasa kuna miaka 2 kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa/Vijiji, pia kuna miaka 3 kuelekea uchaguzi mkuu. Nashauri yafuatayo yafanyiwe kazi; (1) Mfumo wa ujenzi wa Misingi uboreshwe sana na usimamizi wake ufanyike ikiwezekana kuwe na kitengo ambacho si rasmi sana...
  9. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakabidhi Barua na Nakala ya Hukumu kwa Spika wa Bunge na Tume ya Uchaguzi

    Nakala ya hukumu kwa wananchi wasomaji wa JF KATIKA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA(MSAJILI KUU) JIJINI DAR ES SALAAM MENGINEYO SABABU NA. 16 YA 2022 HALIMA JAMES MDEE.......................................... .1 MWOMBAJI GRACE VICTOR TENDEGA.....................................MWOMBAJI wa pili...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Albert Einstein aliulizwa swali kuwa akili ni nini?

    Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani. Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa yale waliyofundishwa darasani, vichwa vyao vinabaki vitupu. Kitu pekee walichojaza kichwani ni yale...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo kipya mafao ya wastaafu kutoka 25% hadi 33%

    HATIMAYE serikali imetangaza kikokotoo kipya cha mafao ya wastaafu, safari hii kukishuhudiwa kuwapo kwa usawa na uwiano kati ya watumishi wa umma na sekta binafsi. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na wenye Ulemavu, Prof. Jamal Katundu, akizungumza na waandishi wa habari...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama vya Siasa aitaka CHADEMA ijieleze kwanini imeanzisha ‘Bunge la Wananchi’

    Eti bhana mbona hawalimwi barua! Au ni kwa vile wamo kwenye Serikali ya kitaifa!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

    Taarifa hii haijajitosheleza maana Chama kina Kanda kumi iweje wewe unaweka matokeo ya kanda sita tu?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mimi bado sielewi kabisa huu uchezaji wa sinema

    Kwani tangu muambiwe ni double standard bado ulikuwa hujaamini? Bado ya Filauni
Back
Top Bottom