Recent content by sruko

  1. S

    JamiiForums Tanzania Godwin Gwilimi:Prof Muhongo ni Muongo ,Mjinga na mwenye dharau!!

    Huyo GG mi Nate namuona muongo hakuna cha maana alichokieleza. Nyuma ya pazia Nate in mpiga dili sana tu ndo maana aliamua aondoke tanesco ili aue soo
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!

    Ebu kuna jambo inabidi uelewe mkuu; pesa zilipokuwa account ya escrow zilikuwa bado za umma; lakini zilipiidhinishwa zilipwe IPTL; hapo zikawa c za umma tena. Na IPTL ana Uhuru wa kuzitumia anavyoona inafaa; serikali haipo tena.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Ugumu gani? Ebu jiulize; hujui kwamba wabunge wengi ni ccm; pili wanakula kupitia chama chao. Ugumu upo sana tu; waoige kura alafu wakale wapi? Katiba ya chama nitakilinda na kukitetea chama change kwa kila khali
  4. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Muhongo mi namkubali sana ni kichwa; hoja kajibu vizuri tu.hizi hela zina mlolongo mrefu; pia huwezi sema moja kwa moja ni hela za serikari na ndo maana zimeliwa kama njugu. Iptl na baadhi ya watu serikalini ndo wanajua mchongo mzima.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya JK mwisho wa mwezi huu hii hapa!

    Ofisi yako ya utabiri iko wapi? Yaani unatabiri atakasema raid mwisho wa mwezi DO.
  6. S

    JamiiForums Tanzania PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    Dharau no Karina ya MTU; kwani hakuna mazuri aliyofanya? Unajua kabra ya hapo alikua wapi? Hana njaa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Waziri Sospeter Muhongo Hajawahi kufanya hata biashara ya Mapera

    Ebu nipeni CV ya lema; yeye ana mini has a? Mbona nasikia no jambazi kiaina
  8. S

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali yajipanga kupangua Ripoti

    Sio kweli mkuu; INA maana we unatembea na kinyesi? Huwezi safisha. Subiri uone Leo bungeni
  9. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Werema, Prof. Muhongo, na Andrew Chenge wako tayari kujibu Vihoja vya kamati ya Zitto

    Lazima uwahoji ni haki yao/ kama ndivyo back wasingekuwa wamapelekwa mahakamani.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

    Uchafu was muhongo/ haimaanishi eti manji ni msafi. Manji Naye hafai kabisa; tens hutumia vyombi vyake vya habari kuchafua watu. Ebu fatilia data za mengi; utashangaa na kubaki mdomo wazi. Unajua alikua anafanya dili gani kwenye hivyo vitalu?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    Umeona eeh; hii no paka na panya tu mkuu. Wahusika no wao tu. Poleni wabunge
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wakili wa ESCROW, Gabriel Mnyele aliyetuhumiwa kumuua mkewe ashinda rufaa

    Hats huyo lissu tundule; mi naona ni mnafiki tu alikuwa wapi kusema siku zote. Eti Leo ndo aseme. Mawakili ndo kazi zao; kuutetea uongo use kweli and vice versa.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

    Sababu iko wazi; wao ndo wahusika. Ushaona wapi; baba analeta ushahidi kwa mkewe eti katembea na bekitatu wake. Lazima azime soo lote
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ntafuatilia sakata la ESCROW leo hii nikiwa Bank hasa NMB

    Hakuna kitu Dodoma; kelele tu. Mahakama ishazuia kujadili escrow.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ikifika mwisho wa kikao cha bunge leo bila escrow scandal kuwekwa mezani, navunja tv yangu

    Iinaonekana unenunua nyingine ndo maana unataka vunja hyo TV. We unamjua makinda wewe; subiri uone. Utavunja sana this time
Back
Top Bottom