Godwin Gwilimi:Prof Muhongo ni Muongo ,Mjinga na mwenye dharau!!

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
1,225
Haya ndo majibu ya Mwanashaeria wa TANESCO aliyefukuzwa suala la Escrow
Yah: Escrow Account tuhuma za Muhongo dhidi yangu

Habarini za mchana! Kwa kawaida na silka yangu, mimi sio mtu ninaependa ugomvi hasa ule usio wa lazima. Lakini, pia, sipendi kuonewa; na katika suala ambalo ni la wazi, nitasimama katika kanuni kupigania iliyo haki yangu.

Si nia yangu kutoa utetezi wangu hapa, au kujibizana na mtu mjinga, pumbavu na mufilisi, lakini nadhani ni vema niseme tu kifuatacho:

Sospita Muhongo ni muongo, mjinga, mtu mwenye dharau na asiyestahili kurudishiwa heshima hata kidogo. Mambo aliyoyasema dhidi yangu Bungeni leo ni ya uongo, yenye hila na ya kutunga. Na kwavile najua kuwa amefanya hivi makusudi, na kwa nia ovu, nimeamua kumchukulia hatua za kisheria rasmi. Na sitorudi nyuma.
Mungu ata deal nae!!! Lakini na mimi pia, sheria si zipo; he is just one ordinary person, appointed by one person, not even elected by ten people; anajidai ku appeal to the populace!!! Nimekosea nini kutoa maoni yangu, tena kikazi!!! Kama ana ugomvi na waheshimiwa wabunge wenzake, awajibu!!! Kama hakuyapenda mawazo yangu ya kitaaluma na kikazi, si basi atetee tu uamuzi wake??!!! He thinks he is operating under a world of perfect knowledge!! Bullies are cowards!!!
Leo mtu mjinga, irresponsible kwa akili na ulimi wake, anajidhalilisha kwa maneno ya uongo, na il-hali akijua hivyo!!! Eti, nimwache tu!!! This naughty profesa wa miamba, anaejifanya anajua kila kitu!!! 

Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,233
2,000

Anakinga akiwa mjengoni umesahau?
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
43,088
2,000
Aiseeeeee Pole Double G,mshitaki huyo Muongo Muongo Dalali mkuu mtaalamu wa miamba,PAC washasema ulifukuzwa kimakosa simamia kesi ule mlungula wako.
 
mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,309
2,000
Nilimuona masele akipinga kwa wazi barua ya Mwanasheria mkuu ikimruhusu mwanasheria wa Tanesco kwenda Malaysia........
 
rkgx

Senior Member
Nov 30, 2013
100
195
Hata Mbowe alivyochangia alionyesha barua kwamba serikali ilijua safari ya jamaa kwenda Malaysia, na alipoulizwa Mwenyekt wa bodi Mbona amejikanyaga tu kwamba jamaa aliacha mwenyewe kazi na hakufukuzwa kitu ambacho wadadisi wa mambo tuona siyo kweli. Wote hawa AG, Waziri wa Nishati na Makatibu wake walikuwa wanataka pesa zilipwe Iptl lakini jamaa alitahadharisha kwamba tunatapeliwa sasa katika hali kama hiyo huoni kama jamaa alipigwa chini?
 
Laurence

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
3,104
1,225
Mkuu kumbuka Prof Muhongo kazungumzia hili jambo yupo ndani ya Bunge;kinga ya kibunge inaruhusu kweli kumshitaki?
 
bonna

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
835
500
huyu prof ni muongo sana..kama jina lake..na kwenye hili sakata zima imedhihirika zaidi ya mara moja kua anali danganya bunge na wananchi.... sijui u professa aliupatia wapi.
 
OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,943
1,225
Aiseeeeee Pole Double G,mshitaki huyo Muongo Muongo Dalali mkuu mtaalamu wa miamba,PAC washasema ulifukuzwa kimakosa simamia kesi ule mlungula wako.
Nafkiri ana kinga ya Bunge......Ila kwa hili Muhongo alifanya upuuzi wa hali ya juu tena sana.......kupambana na mtu kama Godwin siyo sahihi hata kidogo....
 
mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,913
1,225
We mwanasheria tapeli hujui hata kama kunakinga za bunge we hewa kweli.
 
mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,913
1,225
Haya ndo majibu ya Mwanashaeria wa TANESCO aliyefukuzwa suala la Escrow
Yah: Escrow Account tuhuma za Muhongo dhidi yangu

Habarini za mchana! Kwa kawaida na silka yangu, mimi sio mtu ninaependa ugomvi hasa ule usio wa lazima. Lakini, pia, sipendi kuonewa; na katika suala ambalo ni la wazi, nitasimama katika kanuni kupigania iliyo haki yangu.

Si nia yangu kutoa utetezi wangu hapa, au kujibizana na mtu mjinga, pumbavu na mufilisi, lakini nadhani ni vema niseme tu kifuatacho:

Sospita Muhongo ni muongo, mjinga, mtu mwenye dharau na asiyestahili kurudishiwa heshima hata kidogo. Mambo aliyoyasema dhidi yangu Bungeni leo ni ya uongo, yenye hila na ya kutunga. Na kwavile najua kuwa amefanya hivi makusudi, na kwa nia ovu, nimeamua kumchukulia hatua za kisheria rasmi. Na sitorudi nyuma.
Mungu ata deal nae!!! Lakini na mimi pia, sheria si zipo; he is just one ordinary person, appointed by one person, not even elected by ten people; anajidai ku appeal to the populace!!! Nimekosea nini kutoa maoni yangu, tena kikazi!!! Kama ana ugomvi na waheshimiwa wabunge wenzake, awajibu!!! Kama hakuyapenda mawazo yangu ya kitaaluma na kikazi, si basi atetee tu uamuzi wake??!!! He thinks he is operating under a world of perfect knowledge!! Bullies are cowards!!!
Leo mtu mjinga, irresponsible kwa akili na ulimi wake, anajidhalilisha kwa maneno ya uongo, na il-hali akijua hivyo!!! Eti, nimwache tu!!! This naughty profesa wa miamba, anaejifanya anajua kila kitu!!!Hawa ndiyo wanasheria majuha hata kinga za bunge hajui lakini pia muhongo siyo mwepesi kama unavyodhani utapata aibu kubwa sana we tapeli wa sheria.
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,659
2,000
Haya ndo majibu ya Mwanashaeria wa TANESCO aliyefukuzwa suala la Escrow
Yah: Escrow Account tuhuma za Muhongo dhidi yangu

Habarini za mchana! Kwa kawaida na silka yangu, mimi sio mtu ninaependa ugomvi hasa ule usio wa lazima. Lakini, pia, sipendi kuonewa; na katika suala ambalo ni la wazi, nitasimama katika kanuni kupigania iliyo haki yangu.

Si nia yangu kutoa utetezi wangu hapa, au kujibizana na mtu mjinga, pumbavu na mufilisi, lakini nadhani ni vema niseme tu kifuatacho:

Sospita Muhongo ni muongo, mjinga, mtu mwenye dharau na asiyestahili kurudishiwa heshima hata kidogo. Mambo aliyoyasema dhidi yangu Bungeni leo ni ya uongo, yenye hila na ya kutunga. Na kwavile najua kuwa amefanya hivi makusudi, na kwa nia ovu, nimeamua kumchukulia hatua za kisheria rasmi. Na sitorudi nyuma.
Mungu ata deal nae!!! Lakini na mimi pia, sheria si zipo; he is just one ordinary person, appointed by one person, not even elected by ten people; anajidai ku appeal to the populace!!! Nimekosea nini kutoa maoni yangu, tena kikazi!!! Kama ana ugomvi na waheshimiwa wabunge wenzake, awajibu!!! Kama hakuyapenda mawazo yangu ya kitaaluma na kikazi, si basi atetee tu uamuzi wake??!!! He thinks he is operating under a world of perfect knowledge!! Bullies are cowards!!!
Leo mtu mjinga, irresponsible kwa akili na ulimi wake, anajidhalilisha kwa maneno ya uongo, na il-hali akijua hivyo!!! Eti, nimwache tu!!! This naughty profesa wa miamba, anaejifanya anajua kila kitu!!!
Get up; stand up fight for your rights; lakini je umejipangaje kukabiliana na kinga ya kibunge maana haya maneno Muraa Muhongo aliyasema bungeni?!
 
BAOBAO

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
1,874
1,250
Ni wakati muafaka kuangalia sheria ya kinga kwa mbunge, anapoitumia vibaya kwa makusudi kusema uongo na matusi bungeni !
 
sruko

Member
May 31, 2014
46
0
Huyo GG mi Nate namuona muongo hakuna cha maana alichokieleza. Nyuma ya pazia Nate in mpiga dili sana tu ndo maana aliamua aondoke tanesco ili aue soo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom