Kumantain lazima uwe na hela ya mbogamboga Maana Familia hawataki hiyo michemsho ya mboga mboga so budget nyingine iwepo.
Yaani Wewe ni mwendo wa harage, dagaa nyama, mbogamboga, tunda na maji kwa wingi chai unaachana nayo.
Maandazi, chapati, vitumbua na vitafunwa vya wanga na mafuta tupakule
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.