Mama amefanikiwa baada ya kuongeza vyanzo vipya vya kodi kwa sehemu kubwa, kupanda kwa mapato ya ndani yanayokusanywa na kuongezeka kwa New investors kwa ndani na nje.....Asante sana Mama na bado tunazidi kuongeza kupanda
Hakuna Rais ambae yupo Strong na vision kama Rais Samia, Mama ana vision sana na Tanzania ijayo yenye maendeleo.... Nchi inaenda kuwa na uchumi wa Kati ngazi ya Juu.... soon
Kijana kijite kusoma na kuja na fact sio unaleta video za youtube eti ndio evidence za kuonyesha Tz ni bora kuliko Kenya wakati KCB, Equity na NCBA zote zina mizizi TZ alafu NMB na CRDB tupo TZ pekee yake..... TZ bado kuna kazi kubwa...
wewe ndio haujui mind game za siasa pamoja na kuwa kwenye siasa.... alisema hizo kupitia transportation ambayo ni sehemu ndogo sana kwenye uchumi haina athari yeyote....kijana jikite kusoma sio kuleta video za youtube ...
Nimekuambia kama kenya wametengeneza exchange rate yao na kuwa more prefered kwao basi na sisi tutengeneze iwe 1500. Exchange rate inaweza kuwa create kwa muda mfupi kwa ajili ya watu fulani kupiga pesa lakini iwezi kuwa kwa miaka yote.... Kenya wanafanya export sana kwenye nje zaidi ya kwetu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.