Majina ya Kihaya na maana zake

Majina ya Kihaya na maana zake

Waje na wakina chuwa,lema,kimaro,masawe,ngumuo
 
Hii inatusaidia nini zaidi ya kueneza ukabila mwanangu? Kesho tutaletewa ya kisukuma, kikurya na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je, kwa taifa liliozika ukabila miaka ile inatusaidia nini? Hii ingefaa upeleke Kenya lakini si Tanzania.
Tatizo lako wewe ni mtoto wa mujini benyewe banasemaga! Hauna kwenu zaidi ya Sinza, baba yako na mama yako ni kijiwe cha kula bata Kinondoni, lugha yako uijuayo ni Kiswahili tu na kijiji walikozaliwa wazazi wako haukijui na haujui hata walipozikwa huku ukificha kabila lako kutokana na ubishoo wako.
Ingia Gugo kwenye simu yako andika neno lolote utapata tafsiri yake kwa manufaa ya kichwa chako.
 
1.Rugemarila - Anamaliza mwenyewe.
2.Byarugaba _ Yote kwa Mungu.
3.Tibaigana_ Watu hatulingani.
4.Tibaijuka_ Hawakumbuki.
5.Ruyemamu _ kujijari|
6.Mbatina_ kuogopa kufanya jambo/ Madhara.
7.Mshobozi _ kuchanganua mambo.|kuelewesha.
8.Rweyendera_ kujipenderea
9.Rwebugisa_(kujiongoza/kiongozi)
10.Mtaremwa_ Mshindi |ashindwagi /kutochoka
11.Komugisha_(kwa neema |baraka|zawadi)
12.Kokwija_( kuja/ujio)
13.Kalokora_(uokofu/okoa/saidia)
14.Kaijuka_(kumbuka/bila kusahau)
15.Bishanga_(ukomavu/ msimamo
16.Rweumbiza_( kujitetea)
17.Kokuabwa _(kupewa/kubarikiwa)
18.Karungi_(uzuri/mwonekano)
19.Kokushubila(Tumaini.)
20. Kokwenda.(kupenda/
21.Mtahaba (Mwongozaji) mwelekezaji/usikosee
22. Rwechungura (kujikomboa)
23.
...... imetayarishwa na Hemedyjrjunior a.k.a (kimodoMsafi) TUKUTANE kwa darasa lijalo
Mwakora Mno🙏
Nilipokuwa kijana nilibahatika kumpata mrembo jina Kokulingirila.....maana yake tafaadhal
 
Tatizo lako wewe ni mtoto wa mujini benyewe banasemaga! Hauna kwenu zaidi ya Sinza, baba yako na mama yako ni kijiwe cha kula bata Kinondoni, lugha yako uijuayo ni Kiswahili tu na kijiji walikozaliwa wazazi wako haukijui na haujui hata walipozikwa huku ukificha kabila lako kutokana na ubishoo wako.
Ingia Gugo kwenye simu yako andika neno lolote utapata tafsiri yake kwa manufaa ya kichwa chako.
Bahati mbaya hunijui. Mie ni musilanga wa UK kama hujui Ukerewe. Sasa hapa nimeficha nini mwanangu?
 
Nini maana ya Katunzi, Kajuna, Koku, Lewina, Bakangesa, Kakurwa, Byabyato, Rweyongeza, Bashungwa, Kaijage, Mwijage, Rwakatale na Nkaza
 
1.Rugemarila - Anamaliza mwenyewe.
2.Byarugaba _ Yote kwa Mungu.
3.Tibaigana_ Watu hatulingani.
4.Tibaijuka_ Hawakumbuki.
5.Ruyemamu _ kujijari|
6.Mbatina_ kuogopa kufanya jambo/ Madhara.
7.Mshobozi _ kuchanganua mambo.|kuelewesha.
8.Rweyendera_ kujipenderea
9.Rwebugisa_(kujiongoza/kiongozi)
10.Mtaremwa_ Mshindi |ashindwagi /kutochoka
11.Komugisha_(kwa neema |baraka|zawadi)
12.Kokwija_( kuja/ujio)
13.Kalokora_(uokofu/okoa/saidia)
14.Kaijuka_(kumbuka/bila kusahau)
15.Bishanga_(ukomavu/ msimamo
16.Rweumbiza_( kujitetea)
17.Kokuabwa _(kupewa/kubarikiwa)
18.Karungi_(uzuri/mwonekano)
19.Kokushubila(Tumaini.)
20. Kokwenda.(kupenda/
21.Mtahaba (Mwongozaji) mwelekezaji/usikosee
22. Rwechungura (kujikomboa)
23.
...... imetayarishwa na Hemedyjrjunior a.k.a (kimodoMsafi) TUKUTANE kwa darasa lijalo
Mwakora Mno🙏
Ndyo maana Rugwe alikua anaitwa muongoza njia
 
Rugalabam Je?
 
Mwakora
 
Back
Top Bottom