Recent content by spy Master

  1. S

    Mama Anna Mghwira usiongee sana, peleka vielelezo juu ya kifo Cha Mama yake Hoyce Temu

    Nakuna baadhi ya fani kama pharmacy ,nutrition hajila zake unaweza usizione kabisa .
  2. S

    Mama Anna Mghwira usiongee sana, peleka vielelezo juu ya kifo Cha Mama yake Hoyce Temu

    Hapana hospitali za kikanda hupelekewa vibari vya kuajiri lakini ajira hizo ni wafanyakazi wanaoajiliwa wanakuwa ni wachache ,ndo maana hata ukienda hospitali ya taifa ya muhimbili ,kcmc, bugando hutakuta kuna kundi la vijana wengi wanajitolea huko wakipata viposho vidogo ambavyo muda hawewezi...
  3. S

    Mama Anna Mghwira usiongee sana, peleka vielelezo juu ya kifo Cha Mama yake Hoyce Temu

    MAMA ANNA MGWIRA PELEKA VIELEEZO VYA MAREHEMU SION TEMU MAMA WA HYOCE TEMU ALIYEFIA NJIANI KUTOPATA HUDUMA KCMC Habarini za usiku ndugu zangu wana jamii forum wenzangu, Nimesoma habari ya kulalamikiwa moja ya taasisi ya kidini inayotoa huduma za afya , hospitali ya rufani ya kanda ya...
  4. S

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Mimi naomba application software ambayo nitachukua kitabu kinachouzwa amazon na kwenye website nyingine
  5. S

    China ni mwenzi wa dhati wa Afrika, asema msomi wa Kenya Dkt. Wafula

    Don't worry Africa China is around,si mwenzi mwema kwani kuna vitu anavyovitaka,anaweza kutoa misaada lakini mwisho wa siku yeye pia atataka aweze kupata faaida kubwaa kuliko ile aliyetoa ,nikimnukuu Dambisa Moyo mwanaharakati wa kike toka Zambia alisema foriegn aid is dead aid ,akimaanisha...
  6. S

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Engineer Edwin Ngonyani, Ombeni Sefue na Mh Rose Benedict
  7. S

    NACTE mjifunze toka NECTA kuhusu vyeti na uhakiki

    Hawa jamaa ni kikwazo ukiitaji cheti haupati kwa wakati,unaweza tumia miezi au ukakata tamaa ishu kwa wale wanaofuata vyeti vyao daresalam unatoka mkoani hutajuta ,Mara wafanyakazi wake watakwambia kesho kesho hawajali ,kuhakiki tuzo pia nayo pia nitatizo,utaambiwa kafate matokeo chuoni utarudi...
  8. S

    NACTE mjifunze toka NECTA kuhusu vyeti na uhakiki

    Habarini za jioni wana jamiiforums, kwanini hawa NACTE huchelewesha utoaji vyeti na hati za matokeo, uhakiki wa tuzo ni tatizo huchukua muda mrefu, au kuwaambia wanafunzi wafuate matokeo badala ya maamlaka husika kufuatilia na kuhakikisha matokeo yanakuwepo kwa wakati sahihi ni kila siku kwa...
Back
Top Bottom