Recent content by Sputnik Putin

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba za NHC hapa mjini kwanini Serikali isiweke sheria wakapangishwa Walimu Madaktari na M-nurse

    Itakuwa msaada mdogo kwa wachache sana. Badala yake waongezewe maslahi yao kwa kuwana mishahara bora,mikopo yenye riba nafuu (au isiyo na riba /sponsored) au wapewe upendeleo maalumu kwa kuwa na maeneo yao maalumu ya kufanya manunuzi bila kodi au tozo yabidhaa wanazohitaji hasa za...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Jordan amwambia Trump yuko tayari kuchukua Wakimbizi 2000 wa Palestine, Tanzania tuchangamkie fursa hiyo Ili kukuza Urafiki na Marekani!

    Ili iweje?uko serious au? ili iweje? Uko serious au? Umewaza vizuri kweli!!?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Tanzania pekee katika EAC ndiyo haijaruhusu uraia pacha kwa watu wake?

    Naunga mkono.Hapo Mashariki ya Congo vurugu zilizopo zinaletwa na swala la uraia pacha.Kunathread ipo humu Jf nimeisoma jana.Someni hiyothread itawasaidia kupata jibu la thread hii bila shaka kabisa.Muandishi ameiandika thread hiyo kwa umahiri mkubwa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka

    Ila huyo demu asiwe wale wapiga kelele hata ucku
  5. S

    JamiiForums Tanzania Asili ya Vita vya mashariki ya Congo.

    Nimeelewa vizuri sana mike2k
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta: Nimeona watu wanalia lia baada ya Trump kusitisha misaada. Mnalia nini na hela sio zenu?

    Misaada hii hatuitaki kabisa,kwa bahati mbaya viongozi wetu ndio hulazimisha iwepo kwa maana huwa inawasaidia wao kwa kuwapa wakopeshaji rasilimali zetu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kupata mil 15 naomba ushauri maana hii ndo risasi yangu ya mwisho katika bunduki

    Wanaokataa mdogo wangu ubinafsi hauko mbali...Ndugu zetu wa asili ya Asia wanawezaje hili?
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

    Kaa mbali na mama yake.Huo uhusiano si sahihi kabisa,utamuharibia rafiki yako afya yake ya akili.Kuhusu urafiki wenu,hapo itategemea jinsi mama huyo atakavyokuwa king'ang'anizi kwako.Lakini pia unaweza kumueleza huyo mama unamuacha kwa sababu zipi na ufanye hivyo kwa kukeep distance naye kabisa...
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

    Haujafikiria athari mbaya zinazoweza kumkuta rafiki yako akigundua umefanya jambo la hivyo na mama yake? Afadhali ungefanya hivyo na mke au girl friend wa rafiki yako.Ushauri wangu. Achana na uhusiano huo haraka,ili kuilinda afya ya akili ya rafiki yako. KOSA HILO RAFIKI YAKO HATA KUSAMEHE...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kizazi kilichozaliwa kuanzia miaka ya 1975 hadi 1995 ndicho kizazi bora zaidi kutokea

    Swala la kizazi bora ni swala subjective,namaanisha inategemea unautazama ubora huo kwa maono yapi au mtazamo upi au malezi gani uliyokulia.Nafikiri hapa tufanye upembuzi yakinifu (Analysis)ya ubora na mapungufu ya vizazi vitatu ulivyoviainisha ili baadaye tukubaliane ni yapi kila kizazi kiyaige...
  11. S

    JamiiForums Tanzania World population since creation

    We are supposed to strike a balance between live births against population size control measures to avoid making the planet being overpopulated or underpopulated;at the same time we should be very coutious with the new world order propositions ,some of them if not all are very evil with a lot of...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Kama CCM haitowapa kazi wasanii kwenye kampeni 2025, basi kuna dalili kubwa wasanii wakawehuka

    Tatizo hawa wanamuziki wa sasa ,wanatunga na kuimba nyimbo ambazo hazina wazo lolote endelevu ndio maana nyimbo zao zinaboa kuzisikiliza baada ya muda mfupi sana.
  13. S

    JamiiForums Tanzania The fall of Dodoma

    Good artistic narative
Back
Top Bottom