Kwa muda mrefu nimekuwa mwagizaji wa bidhaa hasa china....OGOPA supplier yeyote unayekutana naye facebook, instgram au tiktok etc..USITHUBUTU WENGI NI MATAPELI ..Sehemu salama sijawahi pata matatizo more than Five years ni Alibaba..ingawa sometimes mara chache unaweza pata bidhaa chini ya...
Utendaji kazi wa ICC Huwa hauwi wazi sana kama watu wanavodhani..na sio lazima watangaze kuanza uchunguzi.
Kuna watuhumiwa wengi tu walioenda ICC bila hata hao ICC Kufika kufanya uchunguzi hizo nchi zao au kwenda huko uwanja wa vita kukusanya ushahidi.
Kimsingi utendaji wao huwa siri sana na...
In sense watu wengi hawamtambui, hawafeel na hawaoni kama kuna serikali.Watanzania wengi kila asubuhi wanaomba hii serikali idondoke na ipotee..thats truth
Motivation speaker wa mchongo sana yule jamaa kuna sehemu alikiri kabisa anawakubali sana motivation speaker ambao wanafanya practical business na wanafanikiwa...Yuko kinadharia sana..kutoboa ni ngumu kwa Gen Z kwasababu madogo wanataka matokeo na sio maneno matamu
Anachosema mdau ni kweli 100% baa nyingi hata hizo classic...Hao mabinti wadogo warembo unaodhani hawana watoto..wanao...Wengi maisha yanawaforce kufanya ivo coz hawana option nyingine ya kufanya ili kutunza watoto
Nina wasiwasi na mwenendo w mange huenda keshasalenda ...hata kama umefungiwa instagram ndio ushindwe hata kutoa video watu wakazisambaza? kuna kitu nyuma ya pazi
wanamtandao wapo kila idara...huyu kitambo sana ..bado watanzania wanamaswali nae mengi sana kuhusu kifo cha.....ndio maana mwanamtandao mwenzie alitembea nae kila kona africa kumuombea kura....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.