MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 6,220
- 3,917
Sitaki afike huko!Tuombe Mungu iwe hivyo maana hakuna jinsi nyingine
Sitaki afike huko!Tuombe Mungu iwe hivyo maana hakuna jinsi nyingine
Nami usisahau kunistuaMr Q usipitwe huku.
Umeuliza upumbavu, mimi huwa sina muda na wapumbavu.Jibu nilichouliza,acha kujifanya una akili sana wakati sivyo
Huyu sio slowslow kwasababu britanicca anazo habari za ndaani ndani kabisa na current.wewe utakuwa ndio Slow slow bila shaka,haya tuendelee 🙇🏽♀️
Huu mjadala sio level ya kinaLeo sion watu
Wanaume wakiongea mambo yao wanawake mnatakiwa muwe jikoni ku improve your culinary skills.Mzawa gani alimuua?..alitakiwa auze nchi kwa wazungu?..wachina, waarabu,wahindi ndiyo wameanza kuja tz miaka minne iliyopita?
Au Rose MigiroRose Muhando?
Jokes aside, na mimi kama mtoa mada tu... Nimeambulia JK
hasta la Victoria siempre 🐒: “The birds will be flying high tomorrow.”
Caesar cipher seems to be used more than
Vigenère cipher
Continue Steganographying between RM and JK
Britanicca
Wewe kwanza ume waona?Huu mjadala sio level ya kina
Kalemba
Tlaatlaah
chiembe
kyagata
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable et al.
Kwamba wewe hujaelewa chochote zaidi ya hiyo JK tu?😆Bora hata wewe umeelewa, hadi unauliza maswali!
Kwahiyo wataweka tent uhuru? 🥲hawh
"She will be compelled to seek re-election, but her tenure in office will be temporally limited, sic Terminus erit brevitas at uhuru while The national flag is proclaimed at dimidio in solemn tribute to the deceased Vachtaran go raibh sé ina shuaimhneas síoraí.
I repeat it in bold letters her re-election will be necessitated, sed ejus officium non erit in perpetuum, for a limited duration only."
Britanicca
Absolutely, allowing re-selection while claiming there's a limit creates a loophole that defeats the whole purpose of term limits.None sense!
Allowing that "re-selection" kills everything. That's what should not be happening..
We kenge usipoitaja Mbauda hurizikiHizi lugha hamtutendei haki kabisa members wa JF wa Itigi, Kiwalani, Mbauda na Nyarugusu ndani ndani huko.
😹😹😹 JamaniGoogle yenywe ishindwa mkuu?View attachment 3457845
Nani amfunge paka kengele?Naunga mkono hoja hii, kumruhusu arudi kitini ni kuharibu rasilimali za taifa.
Barred by the kingmakers. She is being used as a means to an end.This statement is contradictory.
"Barred" by what/who?
But tomorrow, Aug 30 2025 is Saturday: how can the "birds" fly high?