Recent content by spongy

  1. spongy

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika kabla jahazi halijazama

    Elution niehaenda mara tatu na ni Elution tofaut kwa festo,mamboleo,na rahisi elution
  2. spongy

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika kabla jahazi halijazama

    Ndio mkuu
  3. spongy

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika kabla jahazi halijazama

    Nashukuru mkuu isuto napafaham
  4. spongy

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika kabla jahazi halijazama

    Habari za jioni wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Jamani sikia, omba yasikukute. Baada ya kupigika na kupoteza mtaji wangu wote kwenye uchimbaji nilikuwa najishughulisha na uchimbaji madini chunya ambapo nilikuwa na mil. 15, nikanunua karasha nikuze mlima. Baada ya uchenjuaji nimekosa...
  5. spongy

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji kwenye uchimbaji wa dhahabu anahitajika

    We jamaa umeongea kitu cha msingi sana
  6. spongy

    JamiiForums Tanzania Shida kwenye baadhi ya namba za Airtel kuziwekea hela.

    Wapigie huduma kwa wateja wakupe suluh ishu inakuwa usajili aa iyo line aujakamilika
  7. spongy

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbia Mwenye Karasha

    Ah mkuu ungekuwa chunya ilikiwa rahisi sana uko mbali sana mkuu mimi ninalo natafuta sehem ya kuweka piah
  8. spongy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Me 4/12 B Ke29/07 Z
  9. spongy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Me 4/12 Ke 29/7
  10. spongy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jama msaada hiv unawezaje kuweka hela kwenye accaunt ya 1×bet?
  11. spongy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naitaji msaada jaman namba ambayo ntwapata meridian kwa haraka hela nimekula nina shida nayo aitoki afu nikiwapigia nakutana na maelezo afu simu badae inakatwa
  12. spongy

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anaongezeka uzito kwa kasi sana

    Uku niliko sidhan kama ni wataalam hawa manesi mana wao wenyew walikuwa wana mshangaa mama yake alipompeleka clinic
  13. spongy

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anaongezeka uzito kwa kasi sana

    Anatumia maziwa ya mama yake
  14. spongy

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anaongezeka uzito kwa kasi sana

    Poleni na majukumu ya kila siku kuna swala hapa nina mtoto uzito wake unaongezeka kwa kasi mpaka inafikia atua sasa nimeanza kuogopa anamiezi miwili na siku 20 lakini lakini Ana kilo 8.2kg naombeni ushauri jaman
  15. spongy

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu wa kwenda kwa Waganga kwa Mwaka mmoja

    Mkuu upande wa message sikupati na shida na wewe
Back
Top Bottom