Recent content by spiritual hero

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    hakuwa responsible kuyashughulikia kwa wakati wote huo kwa sababu kulikuwa na wenye dhamana hyo lakn hawakushughulikia positively.sasa anachukua jukumu hilo ni muhimu ayastudy effectively.hajakosea na imetufariji sana sisi malofa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    amekwenda kuangalia matatizo ya wananchi physicaly. hasa kipindi hiki cha kampeni.sioni kama anakosea.wakati ule alishiriki kwa njia nyingine kama harambee n.k. sio lazma kila kitu umkashifu mtu hata kama humpendi binafsi. mbona wapo wanaomsema vizuri magufuli lakin kura hawatampigia. khaah...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT): Hatutaichagua CCM

    nimeanza kazi mwaka 2008. nimepandishwa daraja mara moja tu mwaka 2011. mshahara ukaja kubadilishwa mwaka mmoja baadae yaani 2012. malimbikizo ya mwaka mzima sijalipwa hadi leo. na kiwango cha mshahara cha sasa kabla ya makato (basic salary) ni 462,000.nina diploma in adult and continuing...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu CHADEMA mmerogwa au CCM imewaingilia?

    roho zinawauma. hivi toka lini ccm wakawatakia mema cdm.? lets talk about UKAWA. mjue kuwa akili hizohzo zinazowatia kiwewe ccm sahv ndizo zmefanya hiyo busara. we tunza kura yako kwa ajili ya mabadiliko. we need a leader not a manager.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa adaiwa kutaka kuuawa!

    humu ndan kuna lishetani limejivika vazi la malaika linapost uchafu tu.ushindwe ktk jina la MUNGU aliye hai.
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

    hii lazma ipenye mpaka kunako... kaaaz kwelikweli.
  7. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA toeni boriti kwanza ndani ya jicho lenu

    haieleweki umeandika nn?..hebu soma huu uzi wako uone hata kama we mwenyewe utauelewa.
  8. S

    JamiiForums Tanzania ITV yasalimu amri

    lsh!..badala ya kurudi nyuma na kufikiria kuwa mliwawazia vbaya itvz ndio kwaaanza mnazidi kujidumbukiza ujingani. kile ni chombo cha hbr. kinatoa habari zilizopo.. bila upendeleo. mjinga ni yule aliyedhani kuwa itv inapendelea. yani badala ya kufuatilia homework za watoto wenu, mnakaa kubinya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Diamond kulipwa TZS 500,000,000 na chama

    hawa jamaa wakishakushika mahala utakubali tu wakugeuze unavyotaka. isshu sio hzo pesa. isshu anaijua mtungi na kata.
  10. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA tuache Kuzomea Wavaa Nguo za CCM

    wengine wamejiandikisha kabisa. japo ni kweli inatia uchungu kuona lijitu linashabikia chama kiovu hadi kufikia kuvaa milapulapu ya kijani/ njano, lakini naunga mkono hoja kuwa sio jambo zuri hata kidogo. ni mfano mbaya hasa kwa nchi hii inayohehimika.
  11. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA tuache Kuzomea Wavaa Nguo za CCM

    ahsante sana mtoa uzi. sio vzuri kabisa na ni ishara ya uvunjifu wa amani.binafsi sijawahi kuzomea mtu. ila nilishuhudia watu kadhaa wakizomewa. kiukweli nilifarijika sana. nilijisikia vizuri sana kuona wanaccm wakizomewa. lakini nakiri kuwa sio jambo zuri hasa kwa nchi yetu hii tamu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanyimwa ruhusa kutumia Uwanja wa Taifa Kwenye uzinduzi wa Kampeni

    watashindana lakini hawatashinda....
  13. S

    JamiiForums Tanzania JK: Uteuzi wa Magufuli ni mapenzi ya Mungu!

    miungu ni wengi nowadays. na huenda tunatofautiana miungu tunaowaamini. i once heard about the supreme being.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kama wamekosa Mikate Waambie wale Keki-UJUMBE KWA WANYWA VIROBA

    mmejiuliza mbona hakutaja na mateja wanaovuta unga?... je hao zi zaidi ya wanywa vroba.? viva UKAWA.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tulifurika uwanjani kujua utata kuhusu RICHMOND, si kwamba tunampenda Lowassa

    mwenye dAta aende mahakamani. mipasho kwenye kampeni ni tabia za kike. tunataka sera/ ilani za vyama vyenu...
Back
Top Bottom