Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Yule mshirikina yule mtu mdogo sana yule.Mgombea ubunge kupitia cuf katika jimbo la Tandahimba siyo habari ya ukawa
Yule mshirikina yule mtu mdogo sana yule.Mgombea ubunge kupitia cuf katika jimbo la Tandahimba siyo habari ya ukawa
ITV ata hawo watangazaji wake hawana elimu hawajuwi ata kusoma taarifa ni shirika bovu kabisa la utangazaji., Nimeacha kuangalia ITV kitambo
Kaa na kichinjio chako sijui unataka kwenda kumchinja nani. Sisi tunatunza kadi zetu za kura trh 25 tunakwenda kupiga kura na kumkataa fisadi, ili asiingie ikulu.
ipo media moja hatareeee inaitwa WHATSAPP
ITV ata hawo watangazaji wake hawana elimu hawajuwi ata kusoma taarifa ni shirika bovu kabisa la utangazaji., Nimeacha kuangalia ITV kitambo
Wee hacha tu sasa hv AzamTv ndio mtetezi wetu daaa
Hahahahaaa..nimecheka sanaipo media moja hatareeee inaitwa WHATSAPP
Tbc baada ya kususwa na wananchi wameamua kutangaza mambo ya hitma na chereko !Mkuu angalia TBC1 na sikiliza TBC Taifa UKWELI NA UHAKIKA, bila kusahau Radio&Gazeti Uhuru vyombo vya utangazaji vingine vinapotosha!
kaa na kichinjio chako sijui unataka kwenda kumchinja nani. Sisi tunatunza kadi zetu za kura trh 25 tunakwenda kupiga kura na kumkataa fisadi, ili asiingie ikulu.