JK: Uteuzi wa Magufuli ni mapenzi ya Mungu!

Mm nashauri tuu wakija kutuomba kura zetu tena tuwaulize yako wapi Yale maisha bora waliyotuahidi
 
miungu ni wengi nowadays. na huenda tunatofautiana miungu tunaowaamini. i once heard about the supreme being.
 
JK amesema hakuna mwanaccm aliyetegemea Magufuli atachaguliwa bali yalikuwa ni mapenzi ya Mungu! Amesema Magufuli ni mchaMungu, asiye na majivuno na ni mchapakazi. Amedai alipomuuliza Magufuli kama ana watu wake yeye alimjibu kwa unyenyekevu kuwa watu wake ni CCM! source itv habari.

Mapenz kwa sababu hata yeye jk hakutegemea kama magufuli angepita...
Kauli hiyo inaonesha ni jinsi gan asivyokua na imani nae..

Lakin.kusema ivoo anamuandaa kisaikolojia kushindwa hiyo nafsi..
baada ya uchaguzi atakuja kusema...magufuli kushindwa urais ni mapenz ya mungu
 
Bado CCM itaendelea kutawala hata kwa miaka mingine 30 kutokana na vyama vya upinzani kutokujua vinasimamia nini kati ya uadilifu na ufisadi.

Vimemchukua fisadi na kuungana kumsafisha. Watanzania hatuvielewi. Ni uroho wa madaraka.
 
JK amesema hakuna mwanaccm aliyetegemea Magufuli atachaguliwa bali yalikuwa ni mapenzi ya Mungu! Amesema Magufuli ni mchaMungu, asiye na majivuno na ni mchapakazi. Amedai alipomuuliza Magufuli kama ana watu wake yeye alimjibu kwa unyenyekevu kuwa watu wake ni CCM! source itv habari.
acheni uchochezi, ITV hawana habari kama hiyo.
 
Mm nashauri tuu wakija kutuomba kura zetu tena tuwaulize yako wapi Yale maisha bora waliyotuahidi
USIWE MJINGA WEWE. UNAKAA BILA KUJISHUGHULISHA UNASUBIRI SERIKALI IKUPE MAISHA BORA!! FANYA KAZI WEWE ACHA ULOFA!!
 
JK amesema hakuna mwanaccm aliyetegemea Magufuli atachaguliwa bali yalikuwa ni mapenzi ya Mungu! Amesema Magufuli ni mchaMungu, asiye na majivuno na ni mchapakazi. Amedai alipomuuliza Magufuli kama ana watu wake yeye alimjibu kwa unyenyekevu kuwa watu wake ni CCM! source itv habari.
Mtu aliyesema hapangiwi kitu na mtu hawezi kukosa majivuno.
 
Back
Top Bottom