Mtoa mada: Wastani wa umri wa kuishi wa mtanzania (life expectancy) ni miaka 65.68 (2016).
Kwa mfano Daktari anayepaswa kustaafu na miaka 65 unataraji ataishi miaka mingapi ili aweze kufaidi hayo mafao ya mwezi?
Hili la kuonaisha kiwango cha michango na mafao yanayotolewa kwa mwaka bila kutizama hazina iliyopo kwenye mifuko siyo sahihi. Na kama michango ya wanachama imetumika kuwekeza kwenye miradi ya majengo au hata viwanda hawastahili kufaidika?
Sijaelewa hapo kwenye kuleta uwiano, kwani watumishi...
Pamoja na kuharakisha mradi wa upanuzi wa huduma za maji katika maeneo ya GOBa, tunaomba menejimenti iutupie macho uratibu wa mgao wa maji kupitia viosk na nyumba chache zilizounganishwa. inaonekana kuna kamchezo.
Nasikia wameanzisha ruti mpya za Madale Posta na Madale-Gerezani kupitia Goba. Wasichoelewa SUMATRA ni kwamba hizi ruti abiria wengi wanaketi mwanzo hadi mwisho wa safari. Sisi wa njiani hususan goba tunakuwa wa kusimama na kukanyagana.
ANZISHENI RUTI ZINAZOANZIA GOBA TAFADHALI. NA SISI TUNA...
Huu mradi utazamwe upya na serikali yetu. Bado kuna changamoto nyingi za kimfumo na miundombinu;
Kuna haja ya kuongeza idadi au mpishano wa mabasi katika ruti zake ili kupunguza msongamano wa abiria ndani ya mabasi na hivyo kupunguza maambukizi ya magonjwa ya hewa na wizi wa mifukoni...
Mkuu sote tunataka neema kwa nchi yetu ila ni busara kukaa kimya kwa sasa. Pande zote mbili zipo kimya wakati mazungumzo yakiendelea. Maana hata watawala wetu ni hodari mno wa kuvuna ujiko wa kisiasa kwenye kila jambo!
(Under section 10(3))
Persons Entitled to Diplomatic Passports
(a) President of the United Republic of Tanzania,
(b) Vice President
(c) President of Zanzibar.
(d) Prime Minister.
(e) Chief Minister.
(f)Minister and Deputy Minister.
(g)Speaker of the National Assembly or the House of...
Ngoja wampitishie bajeti aliyoiwasilisha kwao halafu ikifika septemba akumbuke kwamba bado Rwanda wanatuzidi kwa idadi ya ndege, au kasi ya kuhamia Dodoma ni ndogo..ndio utaelewa ni upande gani unapaswa kushauriwa.
Lakini hiyo hoja ya kumpongeza rais bungeni imebebwa kwa kiasi kikubwa na wabunge wa CCM. Na jemedari wa vita hii ya ukombozi wa kiuchumi ndio mwenye kiti wa CCM.
Mkuu labda ufunguke zaidi unaizungumzia CCM ipi haswa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.