Recent content by SPERMATOZOA

  1. SPERMATOZOA

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Follow this link if you really have interest with issues regarding cars: My Car Group about CARS only.
  2. SPERMATOZOA

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Kuna taa ya brevis hapa ya nyuma ya kulia imevunjika tu kioo cha juu. Ila ipo poa.
  3. SPERMATOZOA

    Natafuta Wallpapers za Sebuleni

    Ninazo na nauza bei poa sana . 0715490570
  4. SPERMATOZOA

    Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis

    Its a bitter truth many people hates to hear.
  5. SPERMATOZOA

    Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis

    Hawa nao kama wanapromot tu. Ni aibu hata kukaribisha shoga na kumpa airtime. Making it sound like its ok. Its fine. Huko ulaya weshaanza kujitoleza na kuwa sympathized. The Devil is very tricky.
  6. SPERMATOZOA

    Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis

    Then I heard another voice from heaven say: "'Come out of her, my people,' so that you will not share in her sins, so that you will not receive any of her plagues revelation 18.4
  7. SPERMATOZOA

    Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis

    Ndugu, do an extensive research about hii comment ya papa. Its more than what u think. dhambi inapakwa pakwa asali ionekane kama sio dhambi tena. ushoga ni dhambi, hata uipake Lotion ni dhambi tu
  8. SPERMATOZOA

    Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis

    By This comment u mean God loves and has allowed being gay? No. Never
  9. SPERMATOZOA

    Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis

    Watasamehewa wakiachana na ushoga. Mungu aliangamiza mji wa sodoma kumbuka sababu ya ushoga. Mungu ni yuleyule na habadiliki. huwezi tubu then unaenda kufanya mapenzi na mwanaume mwenzio then utegemee kuona mbingu. ni mbinu za kishetani kuupotosha ulimwengu
  10. SPERMATOZOA

    Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis

    Bustanini Edeni Mungu aliumba taasisi mbili. 1.Sabato 2. Ndoa Sasa ni mpango wa shetani kuharibu taasisi hizo mbili kwa nguvu zake zote Kwa kuruhusu ushoga basi atakua ameweza kuharibu (kubadili kile Mungu alichotengeneza ie ndoa ya me na ke) Baada ya hapo ataleta sabato ya uongo ambapo nchi...
  11. SPERMATOZOA

    Wallpapers zinauzwa 50,000/Roll. Fundi yupo

    Wadau, nauza wallpapers kwa ajili ya kupendezesha nyumba, ofisi, mgahawa, saloon, etc bei nyasi TZS 50,000/- Gundi 15,000/- fundi 15,000/- 0715490570 follow page yetu ya IG perfect_delites_wallpapers
  12. SPERMATOZOA

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ripoti ya vile vimashine vinasema kosa ni kuendesha bila insurence. rd lisence ipo ok.
  13. SPERMATOZOA

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wadau heshima mbele, Kuna jamaa aliniuzia gari. juzi nimesimamishwa na trafiki na baada ya kuicheki kwenye system inaonekana inadaiwa takribani laki na themanini coz jamaa alikua anaendesha bila bima so kuna malimbikizo ya mabao mpaka kufikia TZS 180,000. Wazee wakazuia gari mpaka ilipwe ila...
  14. SPERMATOZOA

    Ndala rangi tofauti zilizochakaa, sabuni kipande iliyoisha na biblia guest/ lodge zinamaanisha nini?

    ndala zinawakilisha ndomu, yaani uvae ndondom wakati unajegejana, Sabuni ni kwamba uoge kuondoa janaba wife asistuke na bible kua fanya hivo lakini kumbuka malaika wanakuona
Back
Top Bottom