Recent content by speedcom

  1. speedcom

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Dolly Parton akishirikiana na Kenny Rogers.
  2. speedcom

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Katika kifurushi cha Kaskazini Offer kuna chaguo la dk 150 voda-voda, dk 15 mitandao yote na mb 1024 kwa siku tatu, kwa shs 1,500/=. Leo ni mara ya tatu nanunua kifurushi hiki lakini ukiangalia salio baada ya muda mfupi tu unaambiwa una dk 0 mitandao yote ambapo nakuwa bado sijapiga simu yoyote...
  3. speedcom

    Shida tunazozipata wadada wa makamo tulio single miaka 35 na kuendelea

    Umeitendea haki kalamu yako...ndio ukweli.
  4. speedcom

    Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!

    Wanasema wahenga, "Old is gold", laiti maana yake ingelizingatiwa na kukubaliwa tungeliweza kuubadilisha ulimwengu...
  5. speedcom

    Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!

    Shukran sana Mzee Mohamed Said, ukweli na uadilifu ni muhimu sana ili kuweka jamii sawa.
  6. speedcom

    Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!

    Rejea post #1202, nimeona kahitimisha mada ya msingi, ila aliahidi kwenda kufuatilia rejea za MS, kisha arudi jamvini kuanika vyanzo vya "urongo" vya mzee MS. Ila niliyoandika ni mawazo yangu tu, yeyote yuko huru kuweka mawazo yake.
  7. speedcom

    Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!

    Wanajamvi, nimekuwa nafuatilia mada hii, na nimeshawishika kutoa "MAONI YANGU" baada ya mtoa mada Pascal Mayalla kuhitimisha mada yake katika post #1202, licha ya mjadala kuonesha kuendelea bado. Nimekumbuka zama zile tukisoma vitabu vya fasihi, The Great Pond, The River Between, Is it...
  8. speedcom

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba kama kuna aliye na wimbo "Club 53" wa TP Orchestra Kinshasa Jazz ya marehemu Franco Luanzo Luambo Makiadi.
  9. speedcom

    Malalamiko: TIGO Tanzania

    Kwani vifurushi vya internet Zantel vinaendaje mkuu?
  10. speedcom

    CCM nambari wani

    Mkuu, bado uliyotaja ni machache; ukitafakari sana utalia machozi, ila kila lenye mwanzo lina mwisho!
  11. speedcom

    CCM nambari wani

    Naona jawabu huenda pia asione 1, akaona 1+1=11!
  12. speedcom

    CCM nambari wani

    Ukweli mwingine mchungu sana! Mkuu, hii ndio Tz.
  13. speedcom

    Wasichana kuvaa nusu utupu ni kutafuta soko au fasheni?

    Mkuu nasikia mzee wa upako hutoa usafiri wa bure hadi kanisani, ni wewe tu.
  14. speedcom

    Wasichana kuvaa nusu utupu ni kutafuta soko au fasheni?

    Hapo tu sijaelewa, yaani sawa kivipi!
Back
Top Bottom