madaraka haya dumu, kipindi magufuri yupo, alitamba sana na kejeli kwa upinzani.. mfumo huu aliukubali na yeye na kuunga mkono, leo umekuwa mbaya kwake.
Hii iwe ni alarm kwa watawala wote, katiba mpya ni muhimu kuliko madaraka ya mda mfupi..
hapa analichafua jeshi la wananchi , inawezekanaje wapite mipakani bila kushikwa na imekuaje wameshindwa kumkamata hata mmoja, kesi za uhaini karivu wote ni watanzania ..
vilevile tv aipokei direct 240v bali inabdirisha nayrnyewe kwenda DC nazan mpka 12V (most ) ndio maana hata umeme uwe mdogo vipi, tv itawaka..
so na wewe kajifunze zaidi...🤣🤣🤣
ni kujipa moyo tu wanywaji wa pombe... soda athari yake ni sukari mwilini na sio kingine.. ila pombe ina madhara mengi.. imagine ukiwa unakunywa dawa usije ukanywa pombe.. kwanini wadikwambie usinywe soda
utafanya engine ipasuke... coz ya compression force... compression force ya diesel ni kubwa sana, ndio maana haitaji spark , ila compression ya petrol ni kawaida ... so kufanya hvyo utaua engine
ni kwel kutegemea misaada ni kitu kibaya.. ila kwa nchi zetu za ki africa ,cnazani inaweza chukua miaka 1000 mbele kuanza kujitegemea wenyeww...
imagine, wabunge ambao wanatunga sheria za kodi, wao wenyewe hawazitaki.. mfano wabunge hawalipi kodi, wala nssf...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.