Sasa tumfuate YESU au PhD?? 🤣
MSIKIE YESU 👇
Yohana 20:21
“Basi Yesu akawaambia tena, Amani iwe kwenu; kama Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawapeleka ninyi.”
AMANI KWANZA 👇
Luka 10:5
“Na nyumba yoyote mtakayoingia, semeni kwanza, Amani iwe nyumbani humu.”
1 Wafalme 5:4
“Ila leo Bwana...
KIPINDI CHA UKOLONI HAKUKUWA NA HAKI, ILA AMANI ILIKUWEPO NA BABA ZETU WALISHI NA HAWAKUDHURIKA.
Sasa tumfuate YESU au PhD??
MSIKIE YESU 👇
Yohana 20:21
“Basi Yesu akawaambia tena, Amani iwe kwenu; kama Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawapeleka ninyi.”
AMANI KWANZA 👇
Luka 10:5
“Na nyumba...
Ni wapi nimesema SITAKI HAKI? Kulingania Amani haimaanishi Hatuitaki Haki. Tuitunze Amani kisha tuzidai haki zetu bila kusababisha madhara kwa RAIA,Mali na miundombinu yetu.
Amani ya nchi ni:
*Kukosekana kwa vita, machafuko au fujo.
*Usalama wa raia na mali zao.
*Kuheshimu sheria, haki na mipaka.
*Wananchi kuishi kwa umoja bila ubaguzi na chuki.
*Serikali kufanya kazi zake kwa uadilifu na wananchi kutii taratibu.
Kwa nini ni muhimu?
✓Huwezesha elimu, biashara na...
Kusema Amani itangulie haimaanishi Serikali haina makosa. Ni haki yetu kudai haki zetu kama RAIA bila vurugu,kumwaga damu.Tatizo lenu mnadhani wanaohubiri Amani wamerambishwa Asali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.