Recent content by Spectator

  1. S

    Humphrey Polepole ni nani?

    Mlugaluga huyo
  2. S

    Sijaona popote pale wanajeshi wa Rwanda wakilinda Ikulu ya Tanzania wala Ukuta wa Mererani

    Reference yako ipo nje kidogo na hali ya hewa kisiasa kati ya Uganda na Tanzania. Let’s entertain a vague idea of analysts, Mugabe is interested in maintaining his dictatorial state while Magufuri is in progress to establish one. For the later case, it involves many translation and...
  3. S

    Taasisi ya Kimataifa yaunga mkono juhudi za Raia Magufuli kulinda rasirimali za nchi

    Magharibi wanasifia mikakati mingi ya kuindeleza Africa hususani viongozi wachapa kazi. Bahati mbaya hawajui agenda iliyonyuma ya jitihada hizo. Jamii zetu zilivyo mtu anaweza kujenga nyumba ama kununua gari tukamsifia amefanya maendeleo. Ugonjwa huu umehamia kwa wazungu, hawajui siasa zetu kwa...
  4. S

    Taasisi ya Kimataifa yaunga mkono juhudi za Raia Magufuli kulinda rasirimali za nchi

    Kwamba analinda rasilimali kwa kupitisha sheria hesabu sekta ya madini zisikaguliwe na CAG? Hivi huu ujinga tumefunzwa na nani? Hawala kashikiria wizara bado tunashangilia?
  5. S

    Askari sita waliokamatwa kwa kumuua Akwilina Akwilini wako wapi? Wamechukuliwa hatua gani?

    Mauaji kwa wasio na hatia yoyote, mfano Akwiline Akwilina walimshuku kuwa jambazi au kuhatarisha amani na uhai wa mtanzania yoyote hadi apigwe risasi? Msemo wa “life goes on” hutumiwa pale pasipokua na mbadala wowote. Tunaongelea maisha ya mtu yaliyokatishwa bila hatia! Aliyefyatua risasi anayo...
  6. S

    Askari sita waliokamatwa kwa kumuua Akwilina Akwilini wako wapi? Wamechukuliwa hatua gani?

    Hivi muuaji alikusudia au hakukusudiwa? Suala hili lilifika mahakamani? Mhusika alipewa hukumu gani? Sikuwepo Tanzania naomba msaada wadau.
  7. S

    Askari sita waliokamatwa kwa kumuua Akwilina Akwilini wako wapi? Wamechukuliwa hatua gani?

    1. Aliyesababisha maandamano, mkurugenzi? 2. Waliofanya maandamano? 3. Aliyepiga risasi? Hadi sasa hakuna aliyechukuliwa hatua? Justice delayed is justice denied.
  8. S

    Dr. Mpango tuambie ukweli uchumi unakua au unadorora?

    Umesema vyema mkuu. Sera huathiri ukuaji wa uchumi, ninafuatilia bunge kwa ukatibu sana. Kila mwaka serikali hudhamiria kukusanya kodi zaidi ya mwaka unaoisha. Pia ni vizuri kuangalia mchango wa serikali katika uchumi kwa ujumla dhidi ya sekta binafsi. Tatizo (changamoto) iliyopo hata taarifa...
  9. S

    Dr. Mpango tuambie ukweli uchumi unakua au unadorora?

    Asante kwa lugha uliyotumia. Bahati mbaya nimesomea uchumi wenyewe. Kodi hazina uhusiano na ukuaji wa uchumi. Why? Kwasababu wananchi wanaweza onewa walipe kodi, na tangu hapo umma wa kitanzania ni wanyonge basi itawabidi walipe tu ili kupunguza shali dhidi ya maafisa wa serikali. Mtunzi wa...
  10. S

    Dr. Mpango tuambie ukweli uchumi unakua au unadorora?

    Kipimo cha uchumi kukua au kudorola kipo katika mizani ya GDP (zao la taifa) yaani uzalishaji wa bidhaa na huduma ambapo zikiuzwa soko la ndani na nje. Hivyo wananchi hujiingizia kipato na Serikali hupata kodi. Ulichoandika ni kuhusu; 1. Mapato na matumizi ya Serikali (bajeti) 2. Mgawanyo wa...
  11. S

    Changamoto za mfumo Mpya wa Manunuzi ya LUKU kwa Government Electronic Payment Gateways (Ge-PG)

    Wafafanulie mazwazwa kwamba huduma muhimu za jamii hazitakiwi kutozwa Ada.
Back
Top Bottom