Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

The Hague sio issue sana. Issue ni sisi tunawasubiri kwa hamu ili tuvunje hiyo miguu, tuna morali ya kufa mtu. Hakuna atakaemini kitakachotokea. Jidanganyeni na Hague yenu hiyo.
Naishi kwa kufuata katiba ya nchi inayoruhusu maandamano ya amani.

Unaleta mbwembwe afu unaishi kwenye banda la mbwa. Nyie kama mnathaminiwa msingeletewa askari kutoka Rwanda kufanya majukumu yenu.

Hadi ile nyumba ya magogoni inalindwa na wanyarandwa. It's a shame to u!

Za kuambiwa uchanganye na za kwako blazaa
 
Sumti sauti yako ni sawa ya yule Ninja wa Kibiti aliyejitokeza kwenye mitandao ya jamii na kutangaza vita na wananchi wa Kibiti na akawaua wananchi kazaa wasio na hatia, wafuasi wake walidhibtiwa na serikali, bado wewe!
 
Maandamano yamebaki kuwa historia,
Tatizo kubwa la hawa jamaa ni kuona kuwa wengi wa Watanzania wanaipinga serikali iliyochaguliwa na wengi, wanadanganyana kuwa wanao uwezo wa kufanya watakavyo.
 
Aache vitisho vya kipumbavu.... Maandamano ni haki ya kila Raia haijalishi ni wa mrengo gani sasa watu wanataka wapaze sauti badala uwasikilize unaanza kuwapa vitisho..... Hivi hizo hasira walizonazo wazimalizie wapi??? Vilio vyao wavipeleke wapi??? Kwani wakiandamana kwa amani wakarudi kulala utapoteza nini

Sijui ilikuwaje CHADEMA waliruhusu huyu jamaa aingie ikulu..... Ntamlaumu mbowe milele
Ahhh haaah mkuu wewe sio mtu wa kujifungia ndani siku nzima
 
Maandamano hayakuwa organised mkuu sasa utaingia barabarani hujui yanaanzia wapi yanaishia wapi

Mie humu nlitoa wazo kwamba ni lazima viongozi wa kisiasa na wanaharakati... Vyama vya wafanyakazi.... Wanafunzi na trade union zote washirikishwe

Alafu hiyo siku ya maandamano mfano vyama vya siasa basi kila jimbo wanaitisha mkutano alafu baada ya hapo wanaingia barabarani unafkiri nyomi la majimbo yote wakifika hata million 2 polisi wanaubavu wa kuzuia??

Mange aliposema viongozi wa siasa wakae pembeni ndipo nlijua ameshaharibu sababu unategemea nani ata waorganise watu??
 
Katika macho ya kishabiki kuna watakaobeza yaliyotokea jana na leo
Ila katika macho ya information interpretation kilichotokea ni hatari zaidi
Kushindwa kufanya kazi Kwa Mifumo ya kufikisha malaamiko serikalini Ndani ya ccm na Upinzani, media na hata NGO’s ni jambo la hatari hizi ndio formal democratic foundations and channels
Tumaini la mwisho lilikua la mass kufikisha malalamko kama hili limeshindikana Sasa tujiandaee Kwa matukio yasio ya kawaida wala ya kisiasa
Wale ambao wana uwezo Mkubwa wa kubadili mambo ila sio Wanasiasa walikua na Matumaini mambo yatabafilika kupitia njia rasmi kwakua ineshindikana basi njia watakayochagua ni hatari zaidi ..wengi wa watu kama hao ni hatari zaidi
Tusikebehi kwakua njia inayokuja ni hatari zaidi na ya gharama Sana kukabikiana nayo hata dalili Zimeanza kuonekana

Tuombe Mungu
 
Tusubiri tarehe ngapi tena?
 
Maandamano hayakuwa organised mkuu sasa utaingia barabarani hujui yanaanzia wapi yanaishia wapi

Mie humu nlitoa wazo kwamba ni lazima viongozi wa kisiasa na wanaharakati... Vyama vya wafanyakazi.... Wanafunzi na trade union zote washirikishwe

Alafu hiyo siku ya maandamano mfano vyama vya siasa basi kila jimbo wanaitisha mkutano alafu baada ya hapo wanaingia barabarani unafkiri nyomi la majimbo yote wakifika hata million 2 polisi wanaubavu wa kuzuia??

Mange aliposema viongozi wa siasa wakae pembeni ndipo nlijua ameshaharibu sababu unategemea nani ata waorganise watu??
mkuu point za ku assemble zilikuwa zinajulikana nchi nzima Mimi nadhani huyu rais anakubalika kwa sasa
 
Back
Top Bottom