Taasisi ya Kimataifa yaunga mkono juhudi za Raia Magufuli kulinda rasirimali za nchi

eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
15,662
13,820
Hivi majuzi Taasisi moja ya Kimataifa inayojishughulisha na utafiti wa sera za umma katika nchi za Afrika, imetoa taarifa inayoonesha jinsi mataifa ya Ulaya hususan Uingereza inavyopora rasirimali za nchi za kiAfrika. Uporaji huo wa utajiri hufanywa kwa mbinu ambazo zingine ziko kwenye sera ambazo waIngereza wenyewe wamezisuka kwa uangalifu na ustadi mkubwa na zingine ziko kwenye kudanganya mapato na kodi.

Ni wazi kwamba kile anachokifanya Rais wetu JPM ni kana kwamba aliyaona mapendekezo ya kwenye taarifa hiyo. Amechukua hatua sahihi kabisa kulinda rasirimali za nchi yetu zisiporwe na mataifa mengine kwa hasara yetu.

Britain’s New African Empire
By
APPRI MEDIA
-
April 6, 2018
0
10827
Share on Facebook
Tweet on Twitter
advertisement 3
MIN-1-300x200.jpg

Britain’s New African Empire
Companies listed on the London Stock Exchange control over $1trillion worth of Africa’s resources in just five commodities – oil, gold, diamonds, coal and platinum. My research for the NGO, War on Want, which has just been published, reveals that 101 companies, most of them British, control $305billion worth of platinum, $276billion worth of oil and $216billion worth of coal at current market prices. The ‘Scramble for Africa’ is proceeding apace, with the result that African governments have largely handed over their treasure.

Tanzania’s gold, Zambia’s copper, South Africa’s platinum and coal and Botswana’s diamonds are all dominated by London-listed companies. They have mines or mineral licences in 37 African countries and control vast swathes of Africa’s land: their concessions cover a staggering 1.03million square kilometres on the continent. This is over four times the size of the UK and nearly one-twentieth of sub-Saharan Africa’s total land area. China’s resources grabs have been widely vilified but the major foreign takeover of Africa’s natural riches springs from a lot closer to home.

Many African governments depend on mineral resources for revenues, yet the extent of foreign ownership means that most wealth is being extracted along with the minerals. In only a minority of mining operations do African governments have a shareholding? Company tax payments are minimal due to low tax rates while governments often provide companies with generous incentives such as corporation tax holidays.

Companies are also able to avoid paying taxes by their use of tax havens. Of the 101 London-listed companies, 25 are actually incorporated in tax havens, principally the British Virgin Islands. It is estimated that Africa loses around $35billion a year in illicit financial flows out of the continent and a further $46billion a year in multinational company profits taken from operations in Africa.

UK companies’ increasingly dominant role in Africa, which is akin to a new colonialism, is being facilitated by British governments, Conservative and Labour alike. Four policies stand out. First, Whitehall has long been a fierce advocate of liberalized trade and investment regimes in Africa that provide access to markets for foreign companies. It is largely opposed to African countries putting up regulatory or protectionist barriers to such investment, the sorts of policies where have often been used by successful developers in East Asia. Second, Britain has been a world leader in advocating low corporate taxes in Africa, including in the extractives sector.

Third, British policy has done nothing to challenge multinational companies using tax havens; indeed the global infrastructure of tax havens is largely a British creation. Fourth, British governments have constantly espoused only voluntary mechanisms for companies to monitor their human rights impacts; they are opposed to enhancing international legally binding mechanisms to curb abuses.

The result is that Africa, the world’s poorest continent, is being further impoverished. Recent research calculated, for the first time, all the financial inflows and outflows to and from sub-Saharan Africa to gauge whether Africa is being helped or exploited by the rest of the world. It found that $134billion flows into the continent each year, mainly in the form of loans, foreign investment and aid. However, $192billion is taken out, mainly in profits made by foreign companies and tax dodging. The result is that Africa suffers a net loss of $58billion a year. British mining companies and their government backers are contributing to this drainage of wealth.

We need to radically rethink the notion that Britain is helping Africa to develop. The UK’s large aid programme is, among other things, being used to promote African policies from which British corporations will further profit. British policy in Africa, and indeed that of African elites, needs to be challenged and substantially changed if we are serious about promoting long term economic development on the continent.

Mark Curtis
Mark-Curtis-picture-150x206.jpg
Mark Curtis is an author and consultant. He is a former Research Fellow at the Royal Institute of International Affairs (Chatham House) and has been an Honorary Research Fellow at the University of Strathclyde and Visiting Research Fellow at the Institut Francais des Relations Internationales, Paris and the Deutsche Gesellschaft fur Auswartige Politik, Bonn.

Britain's New African Empire — Africa Public Policy Research Institute - APPRI
 
Kwamba analinda rasilimali kwa kupitisha sheria hesabu sekta ya madini zisikaguliwe na CAG?

Hivi huu ujinga tumefunzwa na nani? Hawala kashikiria wizara bado tunashangilia?
 
Jamani kwenye mazuri tumpongeze Rais wetu. Kuangalia mabaya tu, hiyo ni tabia ya shetani. Mungu anataka tuwe pia tukiwapongeza na wengine wakifanya mazuri.
Kwa hili nitakuwa namuunga mkono na kumfuata popote aendapo.
 
Kwamba analinda rasilimali kwa kupitisha sheria hesabu sekta ya madini zisikaguliwe na CAG?

Hivi huu ujinga tumefunzwa na nani? Hawala kashikiria wizara bado tunashangilia?

Sijui kama umesoma habari hii kabla ya kutoa jibu lolote. Nakushauri usome kwanza ndipo uje na mawazo ya kuandika.
 
MAZWAZWA ndivyo walivyo Mkuu.

Mumesoma huu uzi?
unajua ni bora ukakaa kimya kuliko kuongea mambo yatakayoonesha ujinga wako.
Nakushauri usome taarifa ndipo uje kujadili.
 
Dah..umedata kwelikweli....umesoma Uzi au unaandika tu?

Hawa ndiyo aina watu wanaopenda kutekenywa masikio kwa mambo yasiyo na kichwa wala miguu. Ukija na fact mezani hutamuona tena, atabakia kuruka ruka tu.

Ona sasa analeta sijui story za hawala, sijui na hii report hayo yanahusiana wapi na wapi!!!?
 
Ukizoea kusoma mada za kina mambe kimangi, ubongo wako unakuwa umeathirika na hutakuwa na uwezo wa kusoma mada nzito nzito za dunia kama hizi. you will always be cheap in discussing the serious issues.
 
Umekuwa Mwalimu ghafla unatuelekeza aina ya maoni tunayotakiwa kutoa, we vipiii

Ndiyo kawaida yangu, huwa napenda kuwaelimisha wenzangu kuhusu yale yenye ukweli. Siongozwi na mihemko na ushabiki. Napenda kujadili mada zenye mashiko na za ukweli.
Nakushauri usome hiyo taarifa ya utafiti, ili ujue Rais wetu anaposema ni vita vya kiuchumi uwe una evidence at hand. Uwe na sababu za kuamini au kukataa kile kinachozungumzwa na JPM. Msipende kupelekwa huku na huko kama wimbi la bahari likipigwa na upepo.
lakini pia kukubali yale ninayoandika au kukataa bado ni uamuzi wako.
 
Mimi ni akili kubwa nina mawazo tofauti na wewe hivyo usinilazimishe kuwaza kama wewe
 
Ahaaa haaaa aaaa
acha kunivunja mbavu. akili kubwa wakati hata hiyo abstract ya report ya utafiti bado umeshindwa ku decipher.
Haya bana big akili. endelea.
 
Back
Top Bottom