Jamani jamani Daudi! Hadi kwenye maandishi umeamua kuharibu lugha. HICHI. ndio nini tena???? Basi ungemalizia hichi chisiwa. Pia uandike ichirejea na mengine yanafanana. Katika kiswahili hakuna kabisa urembo km huo. Hata kama wewe ni wa Mlugo bado haifai. Hoja ya mjeshi hapo nakuunga mkono ...
Dopeboy. Kindergaten gani hiyo ya kufanya mtihani jmn??. Nani alikufanyia huo mtihani. Crips zinapatikana kila duka JIJINI Mwanza si lazima nakumatt. Ukianza primary uje uweke uzi wenye kusomeka. P- mbaf jazz band
Eddy nimefuatilia hoja zako na imefika sehemu unachanganya sana hata maada sasa umeivuruga. 1 wewe umeitisha maandamano afu wewe yuleyule unawafahamu chadema, 2 wewe unashinda na jamii forum kama kwamba huna kazi na km una kazi basi ni hii ya kusubiri kujibu hoja jf lakini hapa ndo mwisho 3...
Hivi Mwaka naye ni daktari?? Afu ni mwanaume au mwanamke. Ujumbe wake kwa mwenza wake ni nini? Kwamba ye ni mzinzi 99% na anamwomba huyo mwenzi akazini 1%. . We Mwaka kama hujui kitu fulani na unataka kukiongelea utafute ushauri kwa wenye mwanga navyo. Acha aibu hizi
We na mmeo vilaza . Iweje unarukia simu ya mwenza wako tena kwa kusimamisha gari??? hii ni sawa kweli . Mmeo naye amekuwa akiruhusu janga hilo hadi limegeuka jipu kweli. Mwanaume km ilivyo kwenu wake hachungwi kwa staili hiyo. Jitume kwa vyote na umuheshimu ye pia atarudisha heshima. Kukuoa si...
Kule Afrika kusini . Kuna mama mbabe kuliko Tulia. Alishapelekwa mahakamani mara kadhaa na EFF ya Malema na kushindwa. Kwa nini Zitto na wengine wasiende mahakamani kushitaki uozo huu???? Km mfumo wa TZ unamkumbatia spika na kamati zake basi twende mahakama za kimataifa.
Mbona tulipelekwa...
Swala la kutosukuma baada ya mtoto kutoa kichwa hiyo ni mhimu sana kuruhusu mtoto kujigeuza bega la kushoto . Hali hii hutokea yenyewe na mama anatakiwa atii maelekezo ya muuguzi baada ya mtoto kujigeuza ndo mama anaweza kusukuma tena kwa ulaini zaidi. Mama akilazimisha madhara yake ni kuchanika...
Katika hali ya kawaida huwezi kutupa kitu afu kikaangukia mita 1 mtoto akitoka baada ya kuzaliwa huwa yuko kama cm 50 kwenda kifuani . So kama mtoto hakuanguka basi aliwekwa kifuani na kwa utaalamu mtoto akizaliwa tu awekwe kifuani kwa mama ngozi kwa ngozi ili mtoto apate joto la mama...
Umeona Wa mabere Paschal kachemka sana na katiba yake hiyo afu mbaya zaidi katuita wana jf "wanabodi" Hilo ni kosa la kifikra most likely kaombwa na Juliet amtetee "TOO LATE MADALE"
?
Kwani huyo mme kamuoa 2013? Km anakipato kizuri Afrika kusini alienda kufanya nini. Si angerudi alivyoolewa tu au unataka kusema kipato cha mme kimeongezeka mke alivyohamia tz? . Sasa km ni hivyo nani kawezesha hayo . kuna wawekezaji waliojificha bro acha kuwa jipu utatumbuliwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.