Recent content by special agent

  1. S

    Mwezi umeonekana Saudia

    mimi nimeuona leo dar es salaam lakini umeonekana kuwa mkubwa inamaana jana umeonekana mahara, na kesho utakywa mkubwa zaidi ya leo.
  2. S

    Nini maana ya Masalio halisi na masalio yaliyopo? Ukiangalia salio CRDB

    hii mada imeisha eleweka sasa nadhani ifutwe
  3. S

    Sikukuu imekaribia, tujipange

    kwani sikukuu ni lini?
  4. S

    Watanzania ni wepesi sana wa kusahau, Chukua tahadhari

    kusimama magufuri katika hii nafasi ni pigo kwa ukawa
  5. S

    Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Matukio kama haya ni kawaida huwezi kuzuia ila tahadhari inahitajika kwani polisi ni sababu kuu ya kuzuia mission ya majambazi na huwezi jua leo jambazi anawaza nini hivyo polisi is always a first target ambayo all the time ni visible, kwa hiyo mnatakiwa kuelewa hilo kuwa jambazi wakati mwingine...
  6. S

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    mkuu mshana mimi nashauri pia kama inawezekana uanzishe group la wasap ili kama vipi iwe rahisi kutuma picha su hata video ya tatizo husika wasalamu.
  7. S

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nakushukuru sana mkuuu mshana for your +ve response tayari nimemuagiza fundi afanye hivyo nitaleta mlisho nyuma.
  8. S

    Rais wangu Edward Lowassa, wish u all the best, wewe ni jembe

    Lowasa ni jembe , embu ukipata muda sikiliza ile clip ya kujiuzuru kwake alafu uniambie ni watu wangapi wenye ujasiri wa kusema maneno kama yale kwa wakati ule.This man is strong aisee.
  9. S

    Hongera Paul Makonda kwa Kinondoni Talent Search, Lakini...

    makonda anakuja vizuri nimemuona kwenye blog fulan siikumbuki jamaa akiwa anaosha gari yaani kauvaa uhusika kabisa poa sana ukijichanganya na wananchi kiasi hiki inakupa credit sana mkuu bila kujali nafasi yako ya uheshimiwa big up makonda you coming good.
  10. S

    Asante JWTZ Mgulani Sabasaba: Mmeokoa maisha ya familia yangu!

    ni busara ya hali ya juu kwa mtoa mada
  11. S

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    ya alternator ya gari gx 110 inanyonya betri fundi ameniambia imekufa kwa hiyo haifui umeme so nataka ya kubadilisha. Gari ikiwaka baada ya kubustiwa inazima ukitoa betri ya msaada.so kwa ushauri ni bora ninunue hivi vitu au ni badilishe altornator yote?
  12. S

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    habari zenu wanajamvi je kuna mtu anawezakuwa na diode na cut ya kwenye alternator volt 12 au wapi naweza kupata used kama yes npm mkuu
  13. S

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    ok vip kama nikianza na engine oil ya Bp pamoja na filter .this time then baada ya mwezi nikabadilisha oil ya gear box je hii formula itakua ok?
Back
Top Bottom