Recent content by special Agent MOSSAD

  1. special Agent MOSSAD

    Hackers wafanya yao website ya UDSM

    Miaka buku haitowezekana na hao wanaojisifu hawawezekani ni swala la muda tu
  2. special Agent MOSSAD

    Uteuzi wa Gavana wa BoT, Profesa Florens Luoga umezingatia sheria ya Benki Kuu ya mwaka 2006

    Mtoa mada umemshika nyumbu kijambiooo,,,hawez zungumza tena ,,,sikuhiz watu wa chadema ni malaika hawaojiwiii
  3. special Agent MOSSAD

    Zitto Kabwe usiwapotoshe watanzania

    Kuwa bungeni sio kwamba unaakili au msomi sana acha uzwazwa watu wamesoma na wanaakili wapo secta zao huko sio lazma akuambie yupo wapi
  4. special Agent MOSSAD

    Zitto Kabwe usiwapotoshe watanzania

    Huu shule ni ulioenda shule kweli cha kusikitisha kunamanyumbu ambayo hayana hata elimu kuhusu haya mambo yatakuja kutukana hapa
  5. special Agent MOSSAD

    Zitto: Wavuvi wa Migebuka Kigoma watahusika kulipa deni la benki ya CreditSuisse ambalo Serikali ilikopa kununua ndege

    Wapinzani mnajipa moyo sana kwa upumbavu yani mnavyosema hvyo kama upinzani mlishawahi kutoa rais vile,,,kazi mnayo
  6. special Agent MOSSAD

    Zitto: Wavuvi wa Migebuka Kigoma watahusika kulipa deni la benki ya CreditSuisse ambalo Serikali ilikopa kununua ndege

    ZITTO KABWE wew na hao wavuvi wako waambie mgomee ,,,we jamaa umeshaanza kuwa kilaza hizo ndege ni za taifa au za rais ,,,,nazani yale madevu yanakutoa ufahamu sasa babau huna jipya weshachoka wew
  7. special Agent MOSSAD

    Upinzani wa kupinga kila kitu ni upinzani wa kishamba

    Inawauma kwa lowasa na sumaye ???? Ndio tatzo letu na msifikiri kika akili ya mtanzania itawaona nyie chadema ndio bora
  8. special Agent MOSSAD

    Clouds 360 wapata Kigugumizi Kusoma Habari za Tundu Lissu

    Nyumbu kazini agizo gani la kipumbavu namna hyo
  9. special Agent MOSSAD

    UKONGA MOMBASA, DAR: Polisi watembeza kichapo kwa raia. Yadaiwa kuna askari kauawa na raia

    Acha unyumbu kwani pengo ndio mkuu wa majeshi au ndio igp ,,,naona umetumwaaa wew
  10. special Agent MOSSAD

    Ikiwa Acacia wataamua kuondoka nchini basi tujipange kwelikweli maana wanatudai!

    Unakasirishwa na ujinga wakati na wew ni kama zaidi ya mjinga peleka uzi wako huko
  11. special Agent MOSSAD

    Ujinga wa MIGA, noah na CHADEMA

    Babu inshort ni hvi ,,,hao ufipa watakutukana bure tu ,,,,coz walishaamua unyumbu tu juu yao,,,kuhusu noah hatakama ikijapatikana hela kiasi cha kukizi ni bora iwekezwe kwenye miradi mikubwa yenye manufaa kwa inchii ,,,naona kuna wapumbavu kana mtatiro ,kwinyara wanakaa kulia tumekosa noah...
  12. special Agent MOSSAD

    Kwanini Rais alimtuma mpambe wake akamzuie mkalimani kutafsiri Prof Kabudi alipoanza kuongea?

    Nimeangalia hyo clip mwenye uzi ulichoandika ni upumbavu mbuna ni kama maelekezo mengbe ya kawaida tofauti na upupu ulioandika hapa
Back
Top Bottom