Uteuzi wa Gavana wa BoT, Profesa Florens Luoga umezingatia sheria ya Benki Kuu ya mwaka 2006

Kipindi kile cha Mtei hakukuwa na wasomi / wachumi ndo mana akateuliwa yeye.

Leo tuna wachumi wengi kuna tena level ya uprofesa afu unateua Mwanasheria kuwa governor NOT.

This is insane

Swali ni kwamba Mzee Mtei aliumudu ugavana au hakuumudu? Isistoshe unajua kwamba Mkuu wa IMF (International monetary Fund) Christine Lagard ni Mwanasheria?
Kwa hiyo IMF pia wako insane ila wewe, Mbowe, chadema tu ndiyo watu sane Dunia hii?
 
Barbarosa, take some time and learn something! You are very shallow in terms of knowledge! Tulia. Tuliza kipago mjukuu wangu. Jielimishe, uwafahamu watu. Laa sivyo, utaona kama nakutusi. Na Inshaallah, uwe mwenye kupata ufahamu.
Ni huyu huyu alikuwa anamuulizia eti Mnauye alikuwa nani katika CCM wakati yeye ndo anajidai Kada? Kwani makao makuu hakuna maktaba na picha akasome na kuangalia? Shame on this kitu. Kila akitoa siku zote ni pumba na hajui sentensi bali phrase. Msomi gani hawezi hata kuandika sentensi kamili?
 
Wakati Mtei anateuliwa kulikuwa na maprofessa wabobezi wa uchumi wangapi?
Sasa wapo wangapi?
Wakati ule Kawawa alikua na elimu gani?
Jiongeze kidogo

Unafahamu kwamba Mkuu wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) C. Lagarde kasomea Sheria na siyo Uchumi? Sasa waliomchagua wote ni wajinga isipokuwa wewe na Mbowe tu ndiyo werevu?
 
Ni huyu huyu alikuwa anamuulizia eti Mnauye alikuwa nani katika CCM wakati yeye ndo anajidai Kada? Kwani makao makuu hakuna maktaba na picha akasome na kuangalia? Shame on this kitu. Kila akitoa siku zote ni pumba na hajui sentensi bali phrase. Msomi gani hawezi hata kuandika sentensi kamili?

Nilijua tu Mchaga akiguswa, lazima mtoke shimoni, lkn hambadilishi ukweli!
 
Yaani Leo tuhoji kwa nini kitu Fulani kilifanyika mwa 74? Mleta mada hauko serious.
 
Ukiangali Asilimia kubwa ya wanao hoji ni Kanda ile ya Kaskazini kanda ya vibendera kizuri chao tu kwingineko hakitoki kizuri!!
Niwakupuuzwa hawa watu na ujinga wao huo
 
Swali ni kwamba Mzee Mtei aliumudu ugavana au hakuumudu? Isistoshe unajua kwamba Mkuu wa IMF (International monetary Fund) Christine Lagard ni Mwanasheria?
Kwa hiyo IMF pia wako insane na wewe na Mbowe, chadema tu ndiyo watu sane Dunia hii?

Kumudu si hoja lkn taratibu na sheria zifuatwe.

Kuna watumishi wa uma walipata vyeti by a ufanyakazi bora but kwa kuwa walifoji vyeti wamefukuzwa ( ikawa kinyume kwa Bashite)

Huwezi kumchukua mwalimu akafanye Nazi za udaktari, hata kama atamudu si kwa misingi cha daktari halisi

Huu Ni ujuha hasa kwa Tanzania ya Leo iliyojaa wachumi wengi.
 
Kwa hiyo waliomchagua C.Lagarde kuwa Mkuu wa IMF ni majuha? Kwa maana hilo Shirika limejaza Wachumi wa ktk Dunia nzima, sasa kwanini wamemchagua Mwanasheria?
 
Ukiangali Asilimia kubwa ya wanao hoji ni Kanda ile ya Kaskazini kanda ya vibendera kizuri chao tu kwingineko hakitoki kizuri!!
Niwakupuuzwa hawa watu na ujinga wao huo

Uko sawa kabisa hata Hoyce Temu pamoja na kuwa aligombana na Mange Kimambi wao lkn hapa JF alipendelewa na wachangiaji wengi wa chadema na kumpaisha kwa sababu ni wa kutoka kwao, lkn kama Hoyce Temu asingekuwa wa KLM angetukanwa mpaka angeomba poo!
 
Swali ni kwamba Mzee Mtei aliumudu ugavana au hakuumudu? Isistoshe unajua kwamba Mkuu wa IMF (International monetary Fund) Christine Lagard ni Mwanasheria?
Kwa hiyo IMF pia wako insane ila wewe, Mbowe, chadema tu ndiyo watu sane Dunia hii?
Wewe ni kichaaa...!! Unaeleweshwa ila hutaki kuelewa. Kwa zama zile Mtei alifaa. Kwa zama hizi HAFAI..!! Na hafai kama aliyechaguliwa na bosi wako jana. Kama hutaki tena kuelewa, kalia kidole cha kati.
 
Vipi kuhusu Mkuu wa IMF ambaye ni Mwanasheria naye hafai pia kwa kuwa siyo Mchumi?
 
We have a long way to go kwa nchi kama yetu. Tunahitaji mtu sahihi ili kututoa kwanza hapa tulipo na kutupeleka sehemu ambapo uchumi utastabilize na kuweza hata kumchagua mganga wa kienyeji kuwa governor akawa na kazi ya kupiga signature documents tu.

Kwa sasa uteuzi ule wa mhemko hautusaidii. Alisema anampa kama zawadi kwa kazi nzuri. Sasa zawadi za nafasi nyeti kma gavana huu ni utani aisee...!!! Kama ni mwanasheria mzuri wa taxation, kwann asimpeleke TRA akakokotoa vizur kodi zetu..??

Tunahitaji mtu SAHIHI SANA kwa nafasi nyeti kama ile. Yawezekana akawa na yeye ni sahihi kwa field yke lakn asiwe sahihi sana kwa nafasi ya ugavana.

Kwa hiyo uteuzi wa Mzee Mtei kuwa Gavana ambaye hakuwa Mchumi haukutusaidia?
 
Kwa hiyo waliomchagua C.Lagarde kuwa Mkuu wa IMF ni majuha? Kwa maana hilo Shirika limejaza Wachumi wa ktk Dunia nzima, sasa kwanini wamemchagua Mwanasheria?

Kwa Tanzania Ni tofauti. Luoga kawekwa pale ilk spike data as uongo kuhusu kodi
 
Kwa hiyo lipumba alikuwa hajasoma kifungu hicho au alitaka kumpendekeza mtu wake mkulu kafuata taratibu muungeni mkono Kwa hili
 
Kwa Tanzania Ni tofauti. Luoga kawekwa pale ilk spike data as uongo kuhusu kodi

Una uthibitisho gani na hilo? Hata C.Lagarde pia kawekwa IMF kwa kutimiza lengo la waliomuweka, hakuna tofauti, hata Mbowe anaweka Viti maalumu kwa malengo yake, hivyo ni swala la mtazamo tu!
 
Back
Top Bottom