papaa musofe
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 842
- 1,475
Hizo Noah mtazitema,msituletee utani,2020 hapatatosha huku kwa wananchi
Nadhani ukiona noah hata ikipita njiani waweza ilenga na jiwe...kwa sasa kila mwana ccm akisikia neno noah anapata kiungulia kikali mno shingoni sijui kwa nini lakiniBabu inshort ni hvi ,,,hao ufipa watakutukana bure tu ,,,,coz walishaamua unyumbu tu juu yao,,,kuhusu noah hatakama ikijapatikana hela kiasi cha kukizi ni bora iwekezwe kwenye miradi mikubwa yenye manufaa kwa inchii ,,,naona kuna wapumbavu kana mtatiro ,kwinyara wanakaa kulia tumekosa noah ,,,wanawaza matumbo yao zaidi ya manufaa kwa taifa hii ndio upinzani wa sas
Nikikutukana ntakula ban, nauchuna tu mamako!!Katika wapumbaff wewe kiongozi wao sasa hapa umekuja na ushuzi wako kueleza nini??
Hapa ni Tanzania! Wachina waachie uchina wao!Anaandika mtanganyika halisi kuhusu kuropoka kwa wakili msomi na mahiri,post hii imfikie hukoNairobi
Lilipoanza sakata la makanikia kati ya kampuni ya Acacia na Serekali ya Tanzania na hatimae kulazimisha mwenye hisa kuu kampuni ya Barrick Ltd kubeba dhamana ya kutafuta suluhu alitokea anayeitwa WAKILI MAHIRI na kudai mambo mawili yote yakitaka serikali isizuie mali zilizokuwa zikitoroshwa. Hoja zake kuu zilikuwa mbili:
1. Kuna kitu inaitwa MIGA. Kwa kukurupuka kwake akaelezea MIGA kama Convention na hapohapo akatoa kirefu cha MIGA ambacho kinaonyesha MIGA ni Agency. Ukweli ni kuwa MIGA ni Agency. Ni taasisi ya arbitration (kutafuta suluhu).
MIGA si conventiom (Mkataba) kama alivyoropoka. Convention au Treaty au Agreement hufikiwa chini ya usimamizi wa au kwa niaba ya UN (Umoja wa Mataifa) au Kikundi cha Nchi. Mifano: ILO Convention on Freedom of Association and Collective Bargaining, UN Treaty on Non Proliferation of Nuclear Weapons, UN Framework Convention on Climate Change, UN Convention on Combating Deforestation and Desertification? Iran Nuclear Treaty, East Africa Treaty, etc.
Convention inaridhiwa kati ya nchi na nchi (Parties). Hata ICC japo ni taasisi msingi wake ni TREATY na waliohusika si kampuni bali nchi.
Kwa hiyo WAKILI MSOMI alikosea aidha kwa kutojua, kwa makusudi au kwa jazba kusema MIGA ni convention. Ni ishara ya uelewa finyu sana kuhusu CONVENTIONS. Inatia shaka sifa ya USOMI MAHIRI ikiwa WAKILI MAHIRI hajui CONVENTION ni nini!
2. WAKILI MSOMI alidai kisheria kuna madini SI MALI YA NCHI bali MALI YA MWEKEZAJI. Akimaanisha kuwa kitendo cha kuzuia mali ya mwingine ni uvunjifu wa sheria za kimataifa au makubaliano chini ya MIGA. Matukio ya BARICK kukubali kukaa meza moja na serikali ni ushahidi tosha kuwa MWANASHERIA MAHIRI alikuwa hajui asemacho, aliongopa au aliropoka. Ambaye alitaka tuamini tumezuia mali yake kakubali ana mapungufu na atayasahihisha. Ni ajabu na kioja ambaye tuliambiwa tunamdhulumu atende hivi!
Hoja zote mbili zimeingia shombo. Ingefaa sana MWANASHERIA MAHIRI angetueleza ni vipi MIGA haikutubamiza kama alivyoonya? Ni vipi alotuambia tunamdhulumu kwa kumzuia asiuze madini kaja kutafuta suluhu?
Hizi hadithi za kuwa kila mtu aliahidiwa Noah, tumepunjwa au waliongia mikataba washitakiwe ni njia ya hovyo ya kufunika fedheha!
Hivi tungefuata ushauri wa MWANASHERIA MAHIRI wangejadili vipi kupunjika? Wangepata vipi hizo Noah kwa kuachia madini yaibwe?
Hivi ingekuwa China MWANASHERIA MAHIRI angebaki salama? Yaani Rais atetee madini yasiibwe utoke huko na joho lako jeusi umwambie ACHA TUTASHITAKIWA tena upotoshe bado wakuache?
Watanzania wengi tunasema hata kama raisi angeokoa nusu kilo ya dhahabu TUKO PAMOJA NAYE
Wanaosubiri NOAH kila mtu yake huku wanasoma ALBADIRI na waendelee kusubiri.
TANZANIA KWANZA MADINI YETU KWANZA NOAH BAADAE
Yuko nyayo anasogezewa kopo la kunyeaAnaandika mtanganyika halisi kuhusu kuropoka kwa wakili msomi na mahiri,post hii imfikie hukoNairobi

Hebu kueni na aibu hata kidogo basi aliewafikisha kwenye hiyo vita yenu ni nani?Nakuunga mkono mkuu.huyu mtu anaeitwa wakili msomi tundu lissu hana tofauti na ndabaningi sithole na abel mzolewa.watetez wakubwa wa walowezi.mshahara wa msaliti ni mmoja tu.
Wenyewe wanasema:Kwa hiyo WAKILI MSOMI alikosea aidha kwa kutojua, kwa makusudi au kwa jazba kusema MIGA ni convention. Ni ishara ya uelewa finyu sana kuhusu CONVENTIONS. Inatia shaka sifa ya USOMI MAHIRI ikiwa WAKILI MAHIRI hajui CONVENTION ni nini!
kwani si ndivyo walivyoambiwa kwenye ripot ya makinikia kuwa kiasi walichoibiwa kinafika noah noja kwa kila mtanzaniaHayo manyumbu acha yanyumulike,unasubiri Noah mwanaume mzima umening'iniza ...yako nyumbani bila kazi hiyo Ni akili kweli,
Hawa watu wanaboa..hivi wamefikia ukomo wa kufikiri ama ndio majukum yao lazima post ziende hewani? Kama ndio hvyo hizi kazi bora wazikatae mana zina wavua nguo.Mbona mnaandika kitu kile kile lakini mnaleta mabandiko kila sekunde? Hapo Ofisini kwenu leo hakuna wa kuwasimamia?
Hata huyu anaeleta drama asingekuwepo hahahahahaa..Sasa Tanzania ingekuwa China nani angebaki? EPA, ESCROW, KIWIRA, NYUMBA ZA SERIKALI, MV NINI SIJUI , hiyo ni mifano tu. Waliosaini mikataba mbovu - sidhani kama tungefika huku na wengi wasingekuwepo.