Waislam sio wajinga kiasi hicho, kama mliwadanganya na kuwaonea basi ni wale SIO hawa na watakaokuja. Endeleeni kutoa sababu zenu mnazoamini ni za kweli na mchangiane 100% kwa kuziunga ILA sisi tunazijua za kwetu na hatuna haja sana ya kuchangia kwenye hili jamvi lenu la UCDM+Mfumo Kristo. Haki...
Teh teh teheeee...! Kwa waliokua HAWAAAMINI Cdm ni ya mfumo kristo leo hii wamejua! Kisa ni Waislam, wapo tayari kupinga ishu yoyote yenye muelekeo wa kusema ukweli wa waislam. Na bado tutaona mengi sana kuhusu mfumo kristo. Leo hii wana-CDM wanawapinga viongozi wao!
Nilivutiwa na kujikuta naahidi moyoni kuipigia Chadema 2015. Baada ya kujiunga na JF muda si mrefu nilihuzunika saana na kuona kuwa kumbe nimekosea. CDM sio ya WAISLAM, tunadharauliwa sana hata kwa yale ya msingi HATUUNGWI mkono kwa vile sisi ni Waislam. Kiukweli baada ya KUUJUA ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.