sajosojo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 1,017
- 619
Tatizo hawa jamaa ni wavivu wa kufikili.Kama TANGA,DAR NA MTWALA ni zanzibar basi wazanzibar(UNGUJA&PEMBA)wanaotaka kujitenga ni wachache sana kulinganisha na ZANZIBAR yote(TANGA,DAR,MTWALA,UNGUJA,NA PEMBA) hivyo hawa wachache unguja na pemba hawana haki.