CHADEMA: Watanzania puuzeni propaganda za udini...

M4C kama siyo renaissance ni nini?

Washirika wao wakubwa wa nje kama siyo chama cha kidini cha siasa cha ujerumani ni nini?

Wabunge wao wanapokuwa kwenye majukwaa ya siasa (halima Mdee) na nassari (bungeni) wanapowaambia Watanzania watawafikisha nchi ya ahadi wana maana ipi kama siyo udini wa Kikristo?

Zanzibar 99% ni Wasilaam, uliona chadema wana mbunge. mwakilishi au hata sheha mmoja? wamestukiwa!

99% ya wafuasi wao ni Wakristo tena hata humu JF ni hivyo hivyo, hakuna propagada ni ukweli tu.

Siku zote wanasema wao na Mungu, Mungu wao nani? Allah au Jesus?
 
pipoooooooooooooooooziiiiiii poweeerrrrrrrrrrrrrrrrr wimbo mzuri sana kwa pro ccm akiwamo majebere kila walalapo kila waamkapo! nina wanangu wako swanga wanachadema full ni waislamu swafi na wako kwenye kamati ya sensa na wanahimiza waislamu kuhesabiwa. Amani sana kmamanda mpiganaji salumu salum pamojd sana huko uliko.
 
Chadema kimepita katika mioto ya aina mbali mbali lakini haikuteketea!
Walianza kwa kuiita chama cha kichaga ikashindikana!
Wakasema ni chama cha kaskazini,haikuleta mashiko!
Wakasema ni chama cha wakristo,lakini tunashuhudia waislam wakiingia kwa maelfu!
Sasa wamekuja na hii ya chama cha wachochezi!
Aisee magamba wameishiwa!
 
mi na bold tu mkuu usomeke vizuri, hata asiyetaka kukusoma akusome

we majebere acha uzuzu, hivi unaweza kutuonyesha idadi ya viongozi na dini zao ndani ya ccm? Haza hoa wa ngazi za juu? Kama utakuta idadi kubwa ni ya waislam nayo utasemaje kuhusu udini ndani ya ccm? Fikiri kwanza kabla ya kutoa maoni yako.
 
Kwa upande wangu nadhani pande zote mbili hapa JF za wakristu na waislamu wanapenda kutumia lugha zisizopendeza.Ifike mahali wote waache kufikiria udini.Tunamambo mengi ya kutatua na hili la udini lisitupotezee wakati.Kwenye familia nyingi hapa Tanzania wamechanganyika waislamu na wakristu.Iweje leo uone dini yako nibora kuliko nyingine?Nina shangazi amebadili dini ni muislamu pamoja na watoto wake.Kwenye ukoo kuna waislamu zaidi ya mia moja.Kwa nini tushabikie ujinga?
Hii ya udini wanasiasa wanaipenda sana ili kutufarakanisha na kuzidi kututawala kwa mabavu hebu tufikiri kabla ya kusema jambo. Mfano unakuta sentenzi humu JF imeandikwa "Wakatoliki Makafiri" Hivi maana ya kafiri ni nini?Kafiri ni mtu asiye na dini.Jamani tuelimike.STOP UDINI!
 
Wewe hajjat, ngoja wamfinyange mwanao kwa uislamu wao na ukabila wao hao akina lyimo wachaga ndio utatambua cdm kuna udini. Wajinga tu ndio watakaoamini upuuzi huo kuwa hakuna udini. Hili tutalisema hadi tarehe 30/10/2015. Nahistoria inatuambia udini na ukabila huwa vinashindwa kama vilivyoshindwa 2010
 
Hao watakua walishiba futari tu. Ajabu kama wanachama awalijui ilo au wanawaunga mkono hao MACHAVI. DR SLAA ALIMWANDIKIA PAPA BARUA YANINI? MKAGUSO WA VATICAN NA CDM! WAACHE BLAH BLAH CDM NIWADINI TU!
 
Unajua hawa cdm walishajaribu udini, 2010 ikala kwao na naamini udini utawapiga tena. Matusi na kejeli zitafika mwisho watu watakapo toka na kufanya kazi ya kuwaeleza watu kuwa cdm kinauchukia waislam, halafu mkienda ikulu itakuwa miujiza.

Halafu takwimu eti wakristo wengi wametoa wapi propaganda hizo, huo waraka sijui wakanisa au wakatoliki si ulienda hadi kwenye vigango na jumuia wakiambiwa wamchague nani? Na wachungaji na viongozi wote siwalipewa maelekezo maalumu ya kanisa. But what happened - CDM chali.

KUMBUKENI CUF ilponzwa na ushabiki wa baadhi ya waislam waliomini kuwa CUF ni chama chenye mwelekeo wa kiislam, lkn ktk CUF yenyewe uislamu haukuwa na nguvu yeyeto, kilichokuwa na nguvu ni UPEMBA na UUNGUJA. Baadhi ya waislam wa Bara wakafikiri wanaunga mkono uislamu kumbe wanaunga mkono upemba kwani hata waunguja ni waislamu.

CUF walipoona mzimu wa udini unawaandama, wakaanza kutoa takwimu za viongozi wakristo walioko ndani ya CUF kama CDM wanavyojaribu kufanya sasa. Lakini chadema wanamizimu miwili, UDINI na UKABILA, sijui kama watatoka.
 
M4C kama siyo renaissance ni nini?

Washirika wao wakubwa wa nje kama siyo chama cha kidini cha siasa cha ujerumani ni nini?

Wabunge wao wanapokuwa kwenye majukwaa ya siasa (halima Mdee) na nassari (bungeni) wanapowaambia Watanzania watawafikisha nchi ya ahadi wana maana ipi kama siyo udini wa Kikristo?

Zanzibar 99% ni Wasilaam, uliona chadema wana mbunge. mwakilishi au hata sheha mmoja? wamestukiwa!

99% ya wafuasi wao ni Wakristo tena hata humu JF ni hivyo hivyo, hakuna propagada ni ukweli tu.

Siku zote wanasema wao na Mungu, Mungu wao nani? Allah au Jesus?

Kelele za Nini! Subiri 2015. Tuwafunge Midomo
 
Mkuu lilikuwa fumbo hilo hawa wanajulikana sana humu !hawa pro chadema hapa JF ndiye wadini wakubwa wana kejeli Waislam sana hapa JF mara ooh hawajaenda shule,wala ubwawa, nk nk sasa sijui hawa amabo hawajenda shule au wala ubwabwa hawapigi kura?

Nilisha eleza kwenye thread nyingine kuwa kuna viongozi wengi wakuu wa chadema wana pita humu lakini hakuna hata mmoja wao amejaribu kukumea hizi dharau na dhihaka wanazo zifanya hawa wanachadema hapa JF,wakielezwa wadini chama chao kina dhihaki Waislam wanasema hizo propaganda za CCM,mwenye macho haambiwi ona , kejeli zote wanazo zifanya wanachadema hapa JF kwa Waislaam.

Hili halina mjadala Chadema waliyo wengi wana chuki sana na Waislam na Uislam mfano halisi unaanzia hapa JF tena si ajabu wengine wanajulikana wanajificha wanaona waelezee hisia zao hapa JF,lakini yule mchungaji mbunge wa Iringa ameshajiweka hadaharani kuwa yeye ni ant-Islam,

Hivi Mie siwaelewi hawa Chadema na haswa hawa wa JF hivi kama mna ndoto ya kutawala Tanzania hivi kwa akili yenu mtaweza kuwatawala bila ushirikiano wa Waislaam?

Hata kama mnadhani Waislaam, wapo minority nchini unafikiri uchache wao itawapa amani?Angalieni Waislam wapo minority nchi nyingi kwa mfano India kuna wakati kulikuwa na vita vikubwa kati ya Waislam na Wahindu,Phillipines,Burma,kuna kipindi huko Trinadan na Tobago Waislam waliteka bunge nzima kwa bunduki zote hizi choko choko za kidini.

Hivi nyie pro-chadema mliopo hapa JF wabaya wenu waamue kuanika hizi kejeli zenu kwa waislam wa kawaida waliopo huko mitaani mnadhani chama chenu kitajengeka?

Hizo kejeli zenu mnazo Wafanyia Waislaam CCM wanazipenda sana wanajua mnajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe hamuwapi tabu za kuwamiliza mnajimaliza wenyewe.

Msijidanganye hata kidogo ya kuwa hiyo mikutano ya hadhara na watu wanaokuja kwenye mikutano ndiye ushindi wenu hao sio wapiga kura pekee kuna mamilioni ya wapiga kura ambao hawaji kwenye mikutano yenu ambao wapo mitaani na majumbani mwao ambao wengine mnawa kejeli na kuwadhihaki dini yao!

TIme will tell!Pro-Chadema mliopo hapa JF mnahitaji kujirekebisha kama mwakipenda chama chenu kama ni kweli nyie wafuasi wa ukweli wa chadema unless nyie mashabiki tu!

Kelele za Nini! Subiri 2015. Tuwafunge Midomo
 
Nilivutiwa na kujikuta naahidi moyoni kuipigia Chadema 2015. Baada ya kujiunga na JF muda si mrefu nilihuzunika saana na kuona kuwa kumbe nimekosea. CDM sio ya WAISLAM, tunadharauliwa sana hata kwa yale ya msingi HATUUNGWI mkono kwa vile sisi ni Waislam. Kiukweli baada ya KUUJUA ukweli nakichukia CDM sana na ntajitahidi kuwaelimisha waislam wenzangu ambao wanakosea kama nilivokosea mm kabla sijajiunga JF. Bakini na chama chenu cha UDINI.
 
Njia nzuri ya kumaliza hizo tuhuma za kijinga ni kukaa kimya tu kama walivyoamua kumpuuza Shibuda!!!!!
 
Mkuu lilikuwa fumbo hilo hawa wanajulikana sana humu !hawa pro chadema hapa JF ndiye wadini wakubwa wana kejeli Waislam sana hapa JF mara ooh hawajaenda shule,wala ubwawa, nk nk sasa sijui hawa amabo hawajenda shule au wala ubwabwa hawapigi kura?

Nilisha eleza kwenye thread nyingine kuwa kuna viongozi wengi wakuu wa chadema wana pita humu lakini hakuna hata mmoja wao amejaribu kukumea hizi dharau na dhihaka wanazo zifanya hawa wanachadema hapa JF,wakielezwa wadini chama chao kina dhihaki Waislam wanasema hizo propaganda za CCM,mwenye macho haambiwi ona , kejeli zote wanazo zifanya wanachadema hapa JF kwa Waislaam.

Hili halina mjadala Chadema waliyo wengi wana chuki sana na Waislam na Uislam mfano halisi unaanzia hapa JF tena si ajabu wengine wanajulikana wanajificha wanaona waelezee hisia zao hapa JF,lakini yule mchungaji mbunge wa Iringa ameshajiweka hadaharani kuwa yeye ni ant-Islam,

Hivi Mie siwaelewi hawa Chadema na haswa hawa wa JF hivi kama mna ndoto ya kutawala Tanzania hivi kwa akili yenu mtaweza kuwatawala bila ushirikiano wa Waislaam?

Hata kama mnadhani Waislaam, wapo minority nchini unafikiri uchache wao itawapa amani?Angalieni Waislam wapo minority nchi nyingi kwa mfano India kuna wakati kulikuwa na vita vikubwa kati ya Waislam na Wahindu,Phillipines,Burma,kuna kipindi huko Trinadan na Tobago Waislam waliteka bunge nzima kwa bunduki zote hizi choko choko za kidini.

Hivi nyie pro-chadema mliopo hapa JF wabaya wenu waamue kuanika hizi kejeli zenu kwa waislam wa kawaida waliopo huko mitaani mnadhani chama chenu kitajengeka?

Hizo kejeli zenu mnazo Wafanyia Waislaam CCM wanazipenda sana wanajua mnajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe hamuwapi tabu za kuwamiliza mnajimaliza wenyewe.

Msijidanganye hata kidogo ya kuwa hiyo mikutano ya hadhara na watu wanaokuja kwenye mikutano ndiye ushindi wenu hao sio wapiga kura pekee kuna mamilioni ya wapiga kura ambao hawaji kwenye mikutano yenu ambao wapo mitaani na majumbani mwao ambao wengine mnawa kejeli na kuwadhihaki dini yao!

TIme will tell!Pro-Chadema mliopo hapa JF mnahitaji kujirekebisha kama mwakipenda chama chenu kama ni kweli nyie wafuasi wa ukweli wa chadema unless nyie mashabiki tu!

DINI YA KUZIMU! Hamuishi kulalamika.
 
Kelele za Nini! Subiri 2015. Tuwafunge Midomo

Hamjafunga nyinyi ambae mmebwagwa vibaya sana, hivi mnawabunge wangapi vile kati ya zaidi ya 350? mna madiwani wangapi? mna wawakili wangapi? masheha wangapi?

Mtaota sana kuhusu 2015.
 
tataizo kubwa a ccm nikuwa wakati CHADEMA wanatumia udhaifu wao (CCM)
wao ccm wanatumia ushambenga kuwapinga.
mfano halisi CHADEMA wapo katika M4C na wananchi weeengi wanawaelewa CHADEMA wanachofanya na kuwasapoti.
Lakini CCM wao wanawapinga CHADEMA kwa kutumia mbinu kama za udini. sasa ishu baya nikua
wananchi wanaelewa kwa kiasi kikubwa kwa sasa, hawawezi kusikiliza huu ujinga.
 
Mkuu hawa Wenzetu Tatizo ni SHULE.. Wangekuwa wanaipa elimu kipaumbele Wangekuwa wanafikiria sawasawa na mara mbili mbili

sasa wewe badala yakutoa hoja unatukana watu pia inaonesha wewe ni hollow head umefka standard 7 unajiona umesoma hata historia huwelewi kama unaelewa ucngalikua hvyo.asiye jua maana haambiwi maana na mjinga akitaka kupotea mwache apotee.for more information go and read east africa educational history.focus to germany and british finaly,relate your findings to julius era and come across to what made malima lost his life.kama hutoelewa wil neva know.
 
Back
Top Bottom