Recent content by Spark fire

  1. Spark fire

    JamiiForums Tanzania Shinyanga Kahama: Askari ajiua kwasababu ya kukosa watoto

    Dah! Angevumilia tu.
  2. Spark fire

    JamiiForums Tanzania Serikali: Idadi ya watumiaji wa Internet imeongezeka na kufikia Milioni 23

    Internet ya baadhi ya mitandao ipo slow mno. Japo kuwa kwa Afrika Mashariki Tz internet ni bei rahisi kulinganisha na nchi nyingine
  3. Spark fire

    JamiiForums Tanzania Unayotakiwa kuyajua kuhusu battery, chaja za simu na tablet

    Somo zuri sana, 🙏
  4. Spark fire

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa hatari tano(5) anazoweza kukutana nazo mwanao mtandaoni...

    Hakika mitandao ya kijamii imekuwa changamoto sana kwa watoto na jamii nzima kwenye maadili na kuiga tamaduni mbalimbali zisizo faa
  5. Spark fire

    JamiiForums Tanzania European Parliament resolution on Tanzania

    Bunge la Ulaya, - kwa kuzingatia maazimio yake ya awali juu ya Tanzania, ikiwa ni pamoja na ile ya Machi 12, 2015, - kwa kuzingatia Azimio la Mwakilishi Mkuu Federica Mogherini wa 15 Novemba 2018 kwa niaba ya EU juu ya uhusiano wa EU-Tanzania, - kwa kuzingatia taarifa ya EU ya 23 Februari...
  6. Spark fire

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu anapenda sana kujichua(Masturbation)

    Poleni sana sana, shauriana naye umweleze kuwa hupendi na unataka mstop, ikishindikana tafuteni msaada wa daftari wa saikolojia atawasaidia.
Back
Top Bottom