Unayotakiwa kuyajua kuhusu battery, chaja za simu na tablet

kureboot simu inamaana unaianzisha upya operating system kwa kufuta vitu vilivyopo kwenye ram na kufunga application zote ambazo zilikuwa wazi. ukireboot simu utakosa tu vile vitu vilivyokuwa wazi na hujavisave, mfano ulikua unaandika kitu bila kusave basi kitapotea kila kitu kama hujakisave.
Nadhan kureboot hakuna tofauti na zima then washa
 
Moja kati ya matatizo ya zama hizi kwa watumiaji wa simu ni uwezo wa simu zao kukaa na chaji. simu zinakaa na chaji kwa muda mchache kiasi kwamba inabidi wajinyime matumizi waache kufanya vitu fulani ili simu iweze kukaa angalau siku moja. ili kupambana na hili tatizo nimeandaa hii makala ili mpaka mtu akimaliza kuisoma awe na uelewa juu ya battery na chaja na wakati mwengine aweze kuchagua simu anayoitaka mwenyewe.

BATTERY YA SIMU
kwa wasiofahamu battery ya simu hiki ndio kifaa kinachotunza nguvu ya umeme inayotumiwa na simu yako na mara nyingi inakaa nyuma ya simu na zipo battery za simu zinazotoka na zisizotoka.
blackberry-bold-9000-battery-1300mah-1.jpg

UJAZO WA BATTERY
hapa ndio pa muhimu sana, battery yako ikiwa na ujazo mkubwa basi kuna uwezekano mkubwa wa simu yako kukaa na chaji sana. ujazo wa battery ya simu unapimwa kwa milli ampere hour au kwa kifupi mah. ina maana simu ikiwa na mah kubwa basi itakaa sana na charge kuliko yenye mah ndogo.

hebu tuangalie mfano hai una gari, gari yako ina tank la mafuta na ujazo wa mafuta kwenye gari unapimwa kwa lita. hivyo unaweza kusema gari langu lina tank kubwa la mafuta hivyo linaweza kwenda safari ndefu bila kujaza mafuta ikiwa full tank.
1. gari = simu
2. tank la mafuta = battery ya simu
3. lita za mafuta = mah
hivyo kwa mfano huo hapo juu tunaona simu inahitaji battery yenye mah nyingi ili kukaa sana na charge.

UIMARA WA BATTERY
uimara wa battery unatokana na cell zilizotumika kutengenezea hio battery. cell imara zinaruhusu kuchajiwa mara nyingi bila kuharibika. kuna battery unaweza kuzichaji hata mara 1000 zisipoteze ubora wake zikawa bado nzima ila battery nyengine ukizichaji mara 50 au 100 tayari zinaharibika. ni vigumu kujua kama battery hii ina cell imara au ambazo sio imara hivyo ni vyema ukitaka battery imara uinunue kwa makampuni yanayojulikana. wale wanaonunua power bank hii pia inawahusu.

OPTIMIZATION YA BATTERY
turudie mfano wetu wa gari tumesema ukiwa na lita nyingi za mafuta basi na gari litaenda umbali mrefu lakini je hili ni kweli 100%?? kuna magari yanakunywa mafuta sana na mengine hayanywi mafuta sana na hili inategemea jinsi kiwanda kilivyo optimize mashine.

kwenye simu mambo yapo hivi hivi kuna simu zina mah kubwa lakini zinakaa na chaji kidogo na simu zina mah ndogo zinakaa na chaji sana na hili linatokana na jinsi watengeneza simu walivyoeka hardware na software zao vizuri. hapa tuchukulie simu nne kama mifano mbili za windows phone na mbili za android, lumia 1520, lumia 1320, galaxy note 3 na xperia t2.

lumia 1520 na lumia 1320 zote mbili zina battery yenye ukubwa wa 3400mah. lumia 1520 ina kioo full hd na processor yenye kasi kuliko lumia 1320 lakini linapokuja suala la kukaa na chaji lumia 1520 inakaa sana na chaji hivyo hapa inaonesha simu zinaweza kuwa na battery sawa ila zikatofautiana muda wa kukaa na chaji
gsmarena_102.jpg

gsmarena_100.jpg

hivyo hapo utaona kuna utofauti mkubwa karibia masaa 32 japo battery zipo sawa.

tukija kwenye android kuna galaxy note 3 na sony xperia t2. galaxy note 3 ina 3200mah wakati xperia t2 ina 3000mah kwa macho ya kawaida utaona note 3 ni bora hebu tuangalie benchmark zinasemaje.
gsmarena_104.jpg

gsmarena_008.jpg

hivyo unaona japo xperia t2 ina battery ndogo ila imeipita note 3.

kwa ushauri zaidi inabidi mtu uangalie simu yenye mah nyingi halafu pia uangalie na review yake ya battery.

EXTENDED BATTERY
tumeiangalia battery vizuri na hadi hapa utakua na idea ya kutosha kuhusu battery kwa nyongeza ni kwamba unaweza kubadili simu yako yenye battery ndogo ikawa kubwa. mfano simu yako inakuja na battery ya 1500mah unaweza ukanunua battery nyengine ya 3000mah ili kuongeza muda wa simu kukaa na chaji.

CHAJA ZA SIMU
umeshawahi kutumia chaja moja ikawa inachaji simu upesi na nyengine ikawa inachaji kidogo dogo? hili tatizo linatokana na kuchajia chaja ambayo ina ampere ndogo. ampere ndio inayokujulisha kiasi gani cha umeme kinaingia kwenye battery na kifupi chake ni herufi A. nitajaribu kuzieka chaja na aina za simu

0.15A-feature phone
0.45A-usb2.0 charging
0.5A-smartphone ndogo
0.9A-usb3.0 charging
1A-smartphone kubwa
2A-tablets

hivyo inabidi kabla hujanunua chaja kwanza angalia battery yako inataka ampere ngapi halafu ununue na chaja ambayo ina ampere kama battery yako. pia unapotumia charger yenye ampere kubwa na voltage zile zile kama battery yako basi simu itajaa chaji mapema zaidi
original
Mkuu nina tablet ya huawei (mediapad10link)ko kwenye kucharge ipo slow kiaina mkuu sababu natumia charger ya 5V-1A sasa hivi nikipata charger ya 5v-3A itapeleka fasta mkuu au hata ya 5v-2A? Maana huku nyuma imeniandikia 5v==2Amax hebu nifafanulie mkuu.
 
yap itachaji upesi,

ila sio kila ilioandikwa 2A inatoa umeme kiasi hicho, ikiwezekana ijaribu kwanza.

huawei si wana ofisi hapa Tz? jaribu pia kuwaona
 
Daah sawa mkuu ila sjafahamu ofisi zao ziko wapi hasa pale K/KOO japo naskia wapo pale
 
kwenye site yao wameeka hii

Huawei Technologies Tanzania Co., Ltd 17th & 18th Floor Golden Jubilee Towers Ohio Street P.O.Box 38264 Tanzania
Tel: 00255-22-2861971
Fax: 00255-22-2861972
 
Sawa ahsanteh mkuu ntajaribu kwenda kuwacheki hawa jamaa.shukrani sana!
 
Thanx...wapi dar nitapata batery original zenye mah kubwa ?natumia htc
Kuna Muhindi mmoja pale maeneo ya Kisutu anaitwa MOONLEE sijui aisee huyo jamaa hakosei, anajua balaa, na ukienda nenda na simu atakuonesha fake na original, ana work shop pale na ameajili vijana 2, huyo ndio naona wa uhakika zaidi
 
Chief mi nauliza kwenye lap top naomba nisaidie au kuna MTU anaweza nisaidia yaan chaji ya lap top Mac book imeungua ASA ina toa output 16.5, asa nimepata chaja nyingine ya dell inatoa output 19.0 A naweza weka ikachaji?
Msaada kuna kitu muhimu nataka nitoe mda huu na chaji imeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja kati ya matatizo ya zama hizi kwa watumiaji wa simu ni uwezo wa simu zao kukaa na chaji. simu zinakaa na chaji kwa muda mchache kiasi kwamba inabidi wajinyime matumizi waache kufanya vitu fulani ili simu iweze kukaa angalau siku moja. ili kupambana na hili tatizo nimeandaa hii makala ili mpaka mtu akimaliza kuisoma awe na uelewa juu ya battery na chaja na wakati mwengine aweze kuchagua simu anayoitaka mwenyewe.

BATTERY YA SIMU
kwa wasiofahamu battery ya simu hiki ndio kifaa kinachotunza nguvu ya umeme inayotumiwa na simu yako na mara nyingi inakaa nyuma ya simu na zipo battery za simu zinazotoka na zisizotoka.
blackberry-bold-9000-battery-1300mah-1.jpg

UJAZO WA BATTERY
hapa ndio pa muhimu sana, battery yako ikiwa na ujazo mkubwa basi kuna uwezekano mkubwa wa simu yako kukaa na chaji sana. ujazo wa battery ya simu unapimwa kwa milli ampere hour au kwa kifupi mah. ina maana simu ikiwa na mah kubwa basi itakaa sana na charge kuliko yenye mah ndogo.

hebu tuangalie mfano hai una gari, gari yako ina tank la mafuta na ujazo wa mafuta kwenye gari unapimwa kwa lita. hivyo unaweza kusema gari langu lina tank kubwa la mafuta hivyo linaweza kwenda safari ndefu bila kujaza mafuta ikiwa full tank.
1. gari = simu
2. tank la mafuta = battery ya simu
3. lita za mafuta = mah
hivyo kwa mfano huo hapo juu tunaona simu inahitaji battery yenye mah nyingi ili kukaa sana na charge.

UIMARA WA BATTERY
uimara wa battery unatokana na cell zilizotumika kutengenezea hio battery. cell imara zinaruhusu kuchajiwa mara nyingi bila kuharibika. kuna battery unaweza kuzichaji hata mara 1000 zisipoteze ubora wake zikawa bado nzima ila battery nyengine ukizichaji mara 50 au 100 tayari zinaharibika. ni vigumu kujua kama battery hii ina cell imara au ambazo sio imara hivyo ni vyema ukitaka battery imara uinunue kwa makampuni yanayojulikana. wale wanaonunua power bank hii pia inawahusu.

OPTIMIZATION YA BATTERY
turudie mfano wetu wa gari tumesema ukiwa na lita nyingi za mafuta basi na gari litaenda umbali mrefu lakini je hili ni kweli 100%?? kuna magari yanakunywa mafuta sana na mengine hayanywi mafuta sana na hili inategemea jinsi kiwanda kilivyo optimize mashine.

kwenye simu mambo yapo hivi hivi kuna simu zina mah kubwa lakini zinakaa na chaji kidogo na simu zina mah ndogo zinakaa na chaji sana na hili linatokana na jinsi watengeneza simu walivyoeka hardware na software zao vizuri. hapa tuchukulie simu nne kama mifano mbili za windows phone na mbili za android, lumia 1520, lumia 1320, galaxy note 3 na xperia t2.

lumia 1520 na lumia 1320 zote mbili zina battery yenye ukubwa wa 3400mah. lumia 1520 ina kioo full hd na processor yenye kasi kuliko lumia 1320 lakini linapokuja suala la kukaa na chaji lumia 1520 inakaa sana na chaji hivyo hapa inaonesha simu zinaweza kuwa na battery sawa ila zikatofautiana muda wa kukaa na chaji
gsmarena_102.jpg

gsmarena_100.jpg

hivyo hapo utaona kuna utofauti mkubwa karibia masaa 32 japo battery zipo sawa.

tukija kwenye android kuna galaxy note 3 na sony xperia t2. galaxy note 3 ina 3200mah wakati xperia t2 ina 3000mah kwa macho ya kawaida utaona note 3 ni bora hebu tuangalie benchmark zinasemaje.
gsmarena_104.jpg

gsmarena_008.jpg

hivyo unaona japo xperia t2 ina battery ndogo ila imeipita note 3.

kwa ushauri zaidi inabidi mtu uangalie simu yenye mah nyingi halafu pia uangalie na review yake ya battery.

EXTENDED BATTERY
tumeiangalia battery vizuri na hadi hapa utakua na idea ya kutosha kuhusu battery kwa nyongeza ni kwamba unaweza kubadili simu yako yenye battery ndogo ikawa kubwa. mfano simu yako inakuja na battery ya 1500mah unaweza ukanunua battery nyengine ya 3000mah ili kuongeza muda wa simu kukaa na chaji.

CHAJA ZA SIMU
umeshawahi kutumia chaja moja ikawa inachaji simu upesi na nyengine ikawa inachaji kidogo dogo? hili tatizo linatokana na kuchajia chaja ambayo ina ampere ndogo. ampere ndio inayokujulisha kiasi gani cha umeme kinaingia kwenye battery na kifupi chake ni herufi A. nitajaribu kuzieka chaja na aina za simu

0.15A-feature phone
0.45A-usb2.0 charging
0.5A-smartphone ndogo
0.9A-usb3.0 charging
1A-smartphone kubwa
2A-tablets

hivyo inabidi kabla hujanunua chaja kwanza angalia battery yako inataka ampere ngapi halafu ununue na chaja ambayo ina ampere kama battery yako. pia unapotumia charger yenye ampere kubwa na voltage zile zile kama battery yako basi simu itajaa chaji mapema zaidi
original
Asante sana
 
Nina shida mpendwa PC yangu haitaki kupeleka chaji nikichomea chaji inazima.
Je tatizo ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom