Recent content by Sovi

  1. S

    Msaada: Bei za Mazao nchini Tanzania

    asante sana mdau, je hizi bei za mwaka gani? Kama utaweza kunipatia source itasaidia sana.
  2. S

    Msaada: Bei za Mazao nchini Tanzania

    Habari zenu wana jamvi, natumaini mu buheri wa afya. Naomba msaada wa kupata bei za mazao yafuatayo: - Maize - Soya Beans - Sugar canes/ Sugar - Rice - Sorghum - Beef, kwa kipindi cha miaka mitano (5) iliyopita, ninaandaa mradi wa kilimo lakini upatikanaji wa taarifa umekuwa changamoto sana...
  3. S

    Nani aliyemshauri Rais Magufuli amjibu Lowassa?

    Kuna vitu hata kuhoji unapoteza muda wako tu. A matter of national security unakuja kuhoji vimaswali vyako hapa. Tuwe serious jamani. Mh Rais anapo comment unahisi anajitungia tu au?! Obama promised to close Guantanamo, when he sworn in alifunga??? Wacha system ifanye yake.
  4. S

    For sale: Plot no. 692-burka arusha city centre

    Ninachotaka kujua..hiki kiwanja kiliuzwa??? Arusha wanamaisha ya uongo sana. Hilo eneo halina maji, barabara kimeo na umeme unga unga mwana.
  5. S

    Mhe. Rais Magufuli, usikubali Usalama wa Taifa kudhalilika

    Mkuu illegal migrant...nimekuelewa sana na thread yako ya jmosi. Upinzani watasubiri sana
  6. S

    Mhe. Rais Magufuli, usikubali Usalama wa Taifa kudhalilika

    Mkuu si mbaya tukapeana za jikoni. Kama taasisi yetu haiendi sawa na mkuu tujue. Napenda sana hii tasnia.
  7. S

    Mhe. Rais Magufuli, usikubali Usalama wa Taifa kudhalilika

    Hakika nashindwa kuelewa kwann mange anaendelea kuwa na followers wengi. Ndo akili za waTz wengi.
  8. S

    Onyo kwa bunge dhidi ya adhabu kwa Makonda

    Eti watanzania...unamuwakilisha mtanzania gani?? Labda wa kigamboni..
  9. S

    Mhe. Rais Magufuli, usikubali Usalama wa Taifa kudhalilika

    Doa la pili unaweza kulielezeaje??
  10. S

    Mhe. Rais Magufuli, usikubali Usalama wa Taifa kudhalilika

    Mkuu hongera kwa kuleta thread na kuendelea kutujibu. Swali langu kwako...
  11. S

    Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu, nafahamu ukweli wa ndani

    Waandishi wetu ni vimeo sana mkuu, nakuhakikishia asilimia 80% ya habari tunazosoma leo tunadanganywa sana, na kwasababu hatupendi kuchunguza inakuwa tabu tupu mitandaoni.
Back
Top Bottom