Recent content by southamerica

  1. S

    JamiiForums Tanzania Barua ya ole kwa mhe. Ole Sendeka

    Ni kweli kabisa. Hilo nalo litaandikwa na litakumbukwa, kama kweli una mapenzi ya dhati na watanzania hawa wa sasa na wajao waambie hawa wanaokuona sasa kwa nini ulilia kwa ajili yao kwa kura ya Wazi, Mungu tayari anaijua nafsi yako hahitaji maelezo, waambie tu Watanzania wanaokuona hivi sasa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani ni dhaifu mno katika Bunge la Katiba!

    Ni kwamba, sifikiri sana kama hata inabidi kusema upinzani unaburuzwa, utakuwa hufikirii vema. Nafikiri unatakiwa kulia na hoja zinazopitishwa zinamsaidia mtanzania huyu na ajae. Ukizungumza hivyo da, Napata taabu sana. Tuangalie hoja zina maslahi kwa Taifa ..
  3. S

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini Marando ndo anabomoa CHADEMA

    Ni vigumu kukubali au kukataa suala hilo kwa muda kama huu, sina taarifa za kutosha sana juu ya mchango wake pale ncccccr (kupanda kwake na sababu za kushuka kwake). Hata hivyo chama chake kipo makini kitabaini yote na ataumbuliwa kama kweli ananunulika kwa pande zingine.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ubunge Kalenga: Godfrey Mgimwa aitingisha Tosamaganga na Kalenga A

    Huwa kwenye kila mkutano naangalia wangapi wamenyoosha mikono kushangilia ambao hawajavaa nguo za ccc.m ambao wameshapewa zawadi ingawa nao huwa hawakawii kuwageuka watu wa huko angalieni hivohivo wanafuatilia vitu sana msiwaone kama wa kushangaa. Basi ukiangalia utaona watu wengi wamenyamaza...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kitakachotokea CHADEMA mwaka ujao hiki hapa

    Hii haikupi buku saba kuwa mbunifu zaidi.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kitakachotokea CHADEMA mwaka ujao hiki hapa

    kidogo ni afadhali kama unajua ni ikulu ya Watanzania ambayo si lazima cccc.m waingie, yeyote anayeshinda anaingia, acheni watu waamue na hakuna kuibiana.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nimekunywa soda chafu..!!?

    Pole sana ndugu, mimi pia ilinitokea mwaka 2010 nikiwa safarini Lindi. Kwangu ilikuwa ni Pepsi, nasikitika sikutambua mapema. Nilipoanza kunywa sikuhisi lolote, nilipoendelea nikahisi ladha tofauti hivi nikilinganisha na ile niliyoizoea, nikalazimika kuiangalia vizuri, nikaona kama kuna kitu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu aendelea Kuitesa CHADEMA Kalenga,Avuna Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Nzi na Viongozi wengine

    Nakumbuka mwaka mmoja kuna mgombea mmoja wa chama hiki, alitandaza sana h.ela, alikusanya sana watu wa Iringa walikula chakula, walikunywa ulanzi walikula hizo buku saba lakini mwisho wa siku mtu alikataa kusaini matokeo ya mwisho baada ya n.c.cr kushinda. CHADEMA amsheni watu kwa umbali...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Habari na Picha: Mwigulu Nchemba afungua kampeni jimbo la Kalenga kwa kishindo.

    Ni kawaida sana. Mlichofanya ni kukusanya watu kutoka sehemu mbalimbali ndo maana kwa kiasi kikubwa wamevaa mavazi hayo. Ni wale ambao wamefungwa kwa visenti. Nimesikitika huyo kijana anayesema anarudisha kadi,najua karubuniwa, ni ngumu eti kuielewa cc.m ngumu sana. Ujifanye mjinga kwelikweli...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Jamaa ametia nia ya kuoa, hebu msaada kidogo katika tuta...

    Thanks. Jibu ni kama nililompa nema13 juu ya mada hii. Nilifikiri hapa ningepata kirahisi kwa kuwa kuna mchanganyiko mkubwa sana wa watu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jamaa ametia nia ya kuoa, hebu msaada kidogo katika tuta...

    Ni hivi, mshikaji anasema ni kama mwezi wa kumi na moja hivi kwenye relation, ila binti ni miji -aibu sijui pretence, maana ni sijui mwenyewe, sijui mwenywewe mpaka kesho. Lakini -anyway, wacha nimrushie hilo la kucheki waliomtangulia. Thanx
  12. S

    JamiiForums Tanzania Utajauaje kwamba mwanaume ni bikra?

    Ee wewe umekuwa tofauti. nimefikiri kuhusu kukosea sehemu ya kuingiza mh! hapana watu watajifunza hapa hapa wakamdanganya mtu. Kwa hili ulilosema, nalo mtu anaweza kujifanyisha, lakini sio sana, huyo atakuwa ni tapeli mkubwa, na kwamba kwa kiasi kikubwa hii ina nafasi, ila mwanamke awe...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Jamaa ametia nia ya kuoa, hebu msaada kidogo katika tuta...

    Jamaa yangu kampenda mtoto wa Ki-Mbulu ..... Arusha huko, anafikiria kwenda kujitambulisha nyumbani kwa binti, hebu wekeni hapa, utaratibu gani hasa upo kule. Ukipata nafasi maliza kila kitu, vipi masuala yao ya mahali, familia zao zilivyo, nategemea hakuna matatizo hebu nijuze kama jamaa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania My Political Analysis on Jambo Leo: Unaweza Kuudanganya Umma kwa Muda Mfupi tu, Sio Wakati Wote!

    Watapoteza muda saana. Lakini kupenya ngumu, wamejulikana kwamba wana mkakati wa kutumia vyombo vya habari kuichafua chadema. Waacheni waongee, chadema ni hatua tu. Wataongea 1000 chadema 1 mtu analia kule. Haitoshi bado, wanayosema yanajulikana, semeni na ya cc.cm, mbona hamuoni, hebu kidogo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Asisubiri Kuvuliwa Uanachama; Ajiondoe Mwenyewe: Mahakama Isiingilie kazi za Chama!

    Nimecheka kweli, eti kazi hajamaliza ccm watadai chenji!. Mwache aendelee kusumbua ila afahamu anawaudhi watu wengi mno. Haikuwa na haja ya kung'ang'ania chama anachoona hakifuati utaratibu, aende vyama vinavyofuata, hataki, kwa hiyo anatafuta shari tu, wacha alifanye kama ataliweza. Anaweza...
Back
Top Bottom