Nimekunywa soda chafu..!!?

Nimekunywa soda chafu..!!?

Hizi soda za chupa za ku refill zimepitwa na wakati, duniani kwa sasa ni nchi zisizojali wananchi wake ndio zimezagaa, Siku hizi chupa za disposable au recyclable ni nyingi na rahisi kiasi ambacho hakibadilishi bei ya soda, kinachobadilika ni quantity tu tena kidogo ili kufidia gharama za ku dispose.

Haya machupa ya ku refill yawachieni kwa wanywa bia tu.
 
Ndugu wanaJF dakika chache zilizopita nimeenda dukani kununua soda ya STONEY TANGAWIZI, ila cha kushangaza nikiwa nakunywa ghafla nikashtuka kuona ndani ya soda kuna kizibo kimekunjwa na kinaonekana kimeshka kutu. Nikaamua kumimina soda kwenye bakuli naye pia nikaona ina rangi ya kikahawia inayoambatana na kuchafu mweusi.!! Nipo cross road wandugu juu ya afya yangu sijui hata nifanyeje!? Kuweni makini na hz soda si salama salimini.

HIVI MMETUMWA NA NANI KUHARIBU BIASHARA ZA WATU?

Hii sio mara ya kwanza kwa upuuzi wa namna hii kuzungumzwa juu ya soda za Coca-Cola. Yupo mwingine (somebody Mapoaz) naye alikuja na ngonjera za namna hii. Hebu twende hatua kwa hatua na hii hadithi yako ili baadaye uniambie kakufundisha nani na inatufundisha nini:

nikiwa nakunywa ghafla nikashtuka kuona ndani ya soda kuna kizibo kimekunjwa na kinaonekana kimeshka
kutu : Kama naifahamu vizuri chupa ya tangawizi basi ni ya Rangi ya udongo. Wasiwasi wangu ni namna gani unaweza kuibaini KUTU ndani ya chupa ya rangi ambayo inafanana na rangi ya kutu yenyewe.

Nikaamua kumimina soda kwenye bakuli naye pia nikaona ina rangi ya kikahawia inayoambatana na kuchafu mweusi.!!
: Soda nayo ilikuwa ya kahawia, kwa hiyo nayo iliongeza ugumu wa kubaini kutu kwenye kizibo ndani ya chupa yenye rangi sawa na kutu yenyewe!!! (how?)

Kuweni makini na hz soda si salama salimini.
: Naamini huu ndio ujumbe uliotumwa uutengenezee mchoro.

Mimi si mgeni wa ushindani wa kibiashara katika soko la kileo. Najua baadhi ya hizi mbinu chafu za kuwatumia watu kuchafua jina la mshindani wako. Lkn siamini kama ni njia sahihi kwa mtu mzima mwenye afya ya mwili na akili kutumika kufanya uchafu huu kujipatia fedha ilhali unajua ni uchafu.

Kutu haiwezi kusalia kwenye kizibo kama kilifungiwa kwenye soda yenye gesi kwa muda wa nusu saa ikiwa imefungwa. Katika maelezo yako hujasema kama hiyo soda haikuwa na gesi, manake kama kulikuwa na gesi ni dhahiri uchafu huo ungefanya soda ifoke na kumwagika mara ulipoifungua.

Kajipange UPYA.

And the: Umetumwa na nani?
 
Ndugu yangu BAMPKIN BILLIONNAIRES pole sana kwa kushikwa na jazba juu ya maelezo yangu.!
Ninachopenda kusema ni kwamba mimi hakika sijatumwa na mtu yeyote wala kampuni yoyote kuja kuharibu ama kuchafua bidhaa za watu. Ninachokisema ni UKWELI MTUPU tena imenitukea me mwenyewe hapo siku ya jana.
Kuhusu rangi ya soda ni kwamba ni kweli wakati nakunywa nikaona kuna kizibo cha soda husika kimekunjwa na kuwekwa ndani ya chupa hiyo halafu nilipokitoa nikaona kimeshika kutu then nikamimina soda ndani ya plate nikaona rangi tofauti (kahawia) na ile niliyoizoea ukiambatana na uchafu mweusi.
Pia wakati naifungua gas ilifoka kama kawaida ila cha kushangaza na radha ya hiyo soda mwanzoni ilikuwa tofauti.
Mwisho napenda kusema kwamb kwa soda hii niliyoinywa imenipelekea leo usiku kuharisha mara 3 na tumbo kuniuma ningekuwa na uwezo ningekuletea sample ya kinyesi cha uharo hapo ulipo for justification.
Nitafute 0714668690.
 
pole saana, mm mwaka wa 4 ss sijui ladha ya soda. Nakushauri jitahidi kupenda kunywa maji kiafya ni mazuri zaidi hizi sukari and other artificial food sina side effect sana hasa in long run. Once again pole wala usipoteze muda kwenda kushitaki hao cocacola hutopata chochote. Tumbo bado jitahidi lipone mana jtano MA DR TUNAGOMA TENA MGOMO DUME
 
Ndugu yangu BAMPKIN BILLIONNAIRES pole sana kwa kushikwa na jazba juu ya maelezo yangu.!
Ninachopenda kusema ni kwamba mimi hakika sijatumwa na mtu yeyote wala kampuni yoyote kuja kuharibu ama kuchafua bidhaa za watu. Ninachokisema ni UKWELI MTUPU tena imenitukea me mwenyewe hapo siku ya jana.
Kuhusu rangi ya soda ni kwamba ni kweli wakati nakunywa nikaona kuna kizibo cha soda husika kimekunjwa na kuwekwa ndani ya chupa hiyo halafu nilipokitoa nikaona kimeshika kutu then nikamimina soda ndani ya plate nikaona rangi tofauti (kahawia) na ile niliyoizoea ukiambatana na uchafu mweusi.
Pia wakati naifungua gas ilifoka kama kawaida ila cha kushangaza na radha ya hiyo soda mwanzoni ilikuwa tofauti.
Mwisho napenda kusema kwamb kwa soda hii niliyoinywa imenipelekea leo usiku kuharisha mara 3 na tumbo kuniuma ningekuwa na uwezo ningekuletea sample ya kinyesi cha uharo hapo ulipo for justification.
Nitafute 0714668690.

Those are very simple conclusions. Hebu anagalia ulichoandika jana na unayoongea leo. Jana ulisema kuwa uliona kizibo kimekunjwa na kina kutu ndipo ukaamua kumimina soda kwenye bakuli, leo unasema ulimimina na kuona kina kutu. All in all, nani alikwambia kuwa tumbo kuuma na kuharisha ni matokeo ya kunywa soda ikiwa uliamua kukaa tu nyumbani bila kwenda hospitali wala kuripoti kilichokupata?
 
Anyway siwezi kubishana na mtu kama wewe coz naona upo hapo kutetea mas
 
Ahsante ndugu yangu, but sipo safarini nipo home nacheck game ya Arsenal na Liverpool still naogopa kiafya.!

Pole sana ndugu, mimi pia ilinitokea mwaka 2010 nikiwa safarini Lindi. Kwangu ilikuwa ni Pepsi, nasikitika sikutambua mapema. Nilipoanza kunywa sikuhisi lolote, nilipoendelea nikahisi ladha tofauti hivi nikilinganisha na ile niliyoizoea, nikalazimika kuiangalia vizuri, nikaona kama kuna kitu fulani kilichoganda chini-ndani ya chupa , ile kumwaga soda, aise, nilikuta kizibo kilichoharibika sana kwa kutu, aise ulikuwa ni uchafu wa hali ya juu, ambao sikuutegemea. Nilinunua maji nikasuuza mdomo lakini iliyokwisha kwenda tumboni nitaifanyaje. Nashukuru Mungu, nilipanda gari kuendelea na safari yangu na nikafika salama, lakini sikupenda kula chochote kwa muda huo tena, mpaka ilipofika jioni sana. Unaweza kuchukua tahadhari na ukawa kiasi sahihi kwa soda inayoangaza (mfano wa fanta pineaple iliyowekwa kwenye chupa angavu n.k) , kwa hizi koka, pepsi na zinazofanana aise, riski tupu, ni kuchagua tu, kunywa kwa riski yako.
 
Ingekuwa soda haijafunguliwa ungeishtaki kampuni, lakini ulishaifungua basi kwishnei! Hata hivyo sheria zetu bado ziko butu na wanaozisimamia wana njaa, usitegemee hatua yoyote hata kama ukishtaki. Hizi soda za chupa HAIFAI, ni uchafu na ni hatari kuzinywa, si wewe wa kwanza kukutana na vimbwanga, watu wengi waekutana navyo, kuna mmoja aliweka mpaka picha ya FANTA hapa jukwaani, hajaifungua ipo sealed kabisa ipo tu kwenye friji yake alisea hajajua cha kuifanya na alikataa offer ya "watu" kuinunua (sijui walikuwa wanaitaka ya nini!!). Mimi nilishapiga marufuku soda zote za chupa nyumbani kwangu, kama hakuna juice fresh basi wanunue juice/soda za kopo au pakti.
 
Pole mwaya;
mie nina soda imejaa uchafu ndani nimeihifadhi kabatini
nangojea najua kuna siku nitakula bingo.
 
Back
Top Bottom