jamaa amekopy na kupest kwangu aiseeee,nitoe pesa kwa ajili ya mbunye?.haaa wapi pesa haitoki kienyeji na wewe ni kuwadi wake nini maana mi kwa upeo wangu ningekuomba hadi ww tena hata chumba ningelipa cha elfu 2500/- za kitanzania
jamani eheee,mi labda niruhusu canceling ya wazi sasa maana kuligundua tatizo langu mi siwezi ndo maana nikajitoa kimaso maso kusema ukweli.hvyo yeyote atakayeweza kunioki Sawa sawa na tatizo langu nitatoa ushirikiano wa kujibu kadri niulizavyo...karibuni wadau ila msinitukane mtanitia woga wa...
Wadau mnisaidie kimawazo mwenzenu maana hadi sasa na li umri linakwisha sina mwanamke atakayeweza kusimama mbele za watu na kujitambulisha yy kuwa na mimi ni mtu wake maana kama mzigo nabeba flesh tu ila sijajua tatizo hli chanzo ninini
Wakati wa mabadiliko ya katiba za maisha ya wadau mbali mbali umewadia,wenzangu na mimi bize kukusanya nguo/pamba hata kama za kuazima ili mje mtumkomeshe vibonde,.atakayevaa nguo yake mpya siku ya kuja chuoni ongera yake sana,haya na nyie wenye mademu zenu wazuri imekula kwenu aisee mambo mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.