mabinti mnajisikiaje mnapo itwa mademu

mabinti mnajisikiaje mnapo itwa mademu

SOSTENESS J.N

Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
83
Reaction score
19
Binafsi naheshimu sana mawazo ya kiume. ila sasa mnajisikiaje mnapoitwa mademu na wanaume zenu
 
Binafsi huwa ni lugha za wahuni its sound bad 4me
 
DEMU SI TUSI TENA KWA NCHI KADHAA ZA ULAYA NI KITANGULIZI CHA JINA LA MWANAMAMA ANAYEHESHIMIKA. Jina linatokana na neno 'DAME' au MADAME au kwa kifaransa MADEMOISELLE. Pia ni njia ya ki ungwana ya kumuita au kumuelekeza mwanamke e.g 'This way madame, 'Dear madam' au ' Madame Rita etc.
 
Kibongo bongo hatutafsiri hivyo!!!

DEMU SI TUSI TENA KWA NCHI KADHAA ZA ULAYA NI KITANGULIZI CHA JINA LA MWANAMAMA ANAYEHESHIMIKA. Jina linatokana na neno 'DAME' au MADAME au kwa kifaransa MADMOISER. Pia ni njia ya ki ungwana ya kumuita au kumuelekeza mwanamke e.g 'This way madame, 'Dear madam' au ' Madame Rita etc.
 
kaka kwa kifaransa mmama mwenye heshima zaje madamwasele na sio ili neno mnalolitamka madame,unajalibu kunyumbulisha tu hapo kaka
 
Labda sijakuelewa vizuri unachotaka kufafanua mkuu. Ila nilichotaka kusema mimi ni kwamba huyo waingereza wanayemuita Madame,wafaransa wanaita Mademoiselle.
kaka kwa kifaransa mmama mwenye heshima zaje madamwasele na sio ili neno mnalolitamka madame,unajalibu kunyumbulisha tu hapo kaka
 
Nilifanya "kosa " hilo siku moja karibu nitolewe macho aisee!
 
Ila to make things more correct-kwenye kifaransa Mademoiselle ni mwanamke au binti ambaye bado hajaolewa(miss). Kwa aliyeolewa anaitwa Madame.
 
Demu ni bwawa la kuoshea ng'ombe kwa waliosoma agriculture! Binafsi sipendi wakiume anavyomwita msichana wake hvyo!!
 
Ila to make things more correct-kwenye kifaransa Mademoiselle ni mwanamke au binti ambaye bado hajaolewa(miss). Kwa aliyeolewa anaitwa Madame.

kifaransa na sio kiswahili lakini watu watasingizia kifaransa
 
basi na sisi wa kiume tuitwe ma hog au mnasemaje,girls mtu akikuita demu we itikia Yes My HOG OK
 
Binafsi naheshimu sana mawazo ya kiume. ila sasa mnajisikiaje mnapoitwa mademu na wanaume zenu

unajua maana ya 'dame' as DAME JUDY DENCH???YOU SHOULD BE GRATEFUL WHEN WE CALL YOU 'DAME'......not to be confused with DAMN....
 
Demu ni bwawa la kuoshea ng'ombe kwa waliosoma agriculture! Binafsi sipendi wakiume anavyomwita msichana wake hvyo!!

dame

[deym] Show IPA
noun 1. ( initial capital letter ) a. the official title of a female member of the Order of the British Empire, equivalent to that of a knight.

b. the official title of the wife of a knight or baronet.

2. (formerly) a form of address to any woman of rank or authority.

3. a matronly woman of advanced age; matron.

4. Slang: Sometimes Offensive. a woman; female.

5. Ecclesiastical . a title of a nun in certain orders.

katika definition hizo hapo,moja ni offensive tena slang,kwahio DAME ni heshima kwa mwanamke.

ref😀ame Judy Dench.....
 
basi na sisi wa kiume tuitwe ma hog au mnasemaje,girls mtu akikuita demu we itikia Yes My HOG OK

[h=2]dame[/h] [deym] Show IPA
noun 1. ( initial capital letter ) a. the official title of a female member of the Order of the British Empire, equivalent to that of a knight.

b. the official title of the wife of a knight or baronet.

2. (formerly) a form of address to any woman of rank or authority.

3. a matronly woman of advanced age; matron.

4. Slang: Sometimes Offensive. a woman; female.

5. Ecclesiastical . a title of a nun in certain orders.

google Dame Judy Dench......dame ni heshima kwa mwanamke(def.4 wanasema ni slang for woman,female sometimes offensive)
 
Back
Top Bottom