Recent content by sostenes mbwelwa

  1. sostenes mbwelwa

    Tunalaani uwanja Chato, nchi hii upendeleo ulianza zamani Wachaga mkiongoza

    Kabomoe mkuu toa kabisa miundo mbinu kwangua kabisa lami kapande mihogo
  2. sostenes mbwelwa

    Rich Mavoko kawakata watu kilimilimi

    Habari zingine zinaonyesha mtoa habari hana weledi wakutafuta habari it hasn't sense
  3. sostenes mbwelwa

    Qatar Airways kuongeza ruti ya kutokea KIA kuanzia tarehe 01/06/2019

    Niujinga wakiwango cha juu kufurahia pesa kwenda kwa Taifa lingine. Once unahitaji serikali yako ikupe huduma bora..au kwelindiwalewale kupinginga kilajambo
  4. sostenes mbwelwa

    Wale wanaojuwa ku calculate CDM charges/Storage Charges, tuelemishane

    Formalar ni hii Kama ni local hesabu siku7za free tangu siku yakuingia meri zinazo ongezeka ni cmb xsiku zilizozidi jumlisha handling ambayo ni cmb x 4.5 Jumla yake tafuta asilimia 18 ambayo nivat pesa ipo in Usd.. Not tsh
  5. sostenes mbwelwa

    Katiba iwe ya Wananchi sio ya viongozi!

    Kimsingi hamja muelewa Nnape.. Kasema katiba iwe ya wananchi isiwe ya viongozi... Maana yake nihivi.. Viongozi wawape nafasi wananchi wa kawaida watoe mawazo yao.. Kwauhuru na haki.. Then viongozi waone mtazamo wawananchi, alafu wao waboreshe kupitia maoni ya wananchi. Anacho kataa viongozi...
  6. sostenes mbwelwa

    Ushauri wa Yusuf Makamba ulivyokataliwa na Magufuli

    Upo nchi gani hata usione most of changes
  7. sostenes mbwelwa

    Mbunge wa Mbozi Magharibi(CHADEMA), David Ernest Silinde kuweka msimamo wake bayana hapo Kesho

    Dont say stupid perception, by the way dont force any one to part of your side while you know political is in democratic form. Person can decide where to follow accordingly. What is good "just look how to convice person to be Part Of your side by positive policy.
  8. sostenes mbwelwa

    Mbunge wa Mbozi Magharibi(CHADEMA), David Ernest Silinde kuweka msimamo wake bayana hapo Kesho

    Endeleeni kutafuta kiki kutumia media.... Lkn wengi tunajua shida ipo wapi.
  9. sostenes mbwelwa

    CCM imepigwa knockout, katika hii hama hama inayoendelea ni dhahiri Chadema wameshinda.

    Mm naona una ukereketwa ambao hata hauna fikra yakinifu. Post yako inaonyesha jinsi ulivyo mvivu wa kufikiria
  10. sostenes mbwelwa

    Wenye magari: Mnaibiwa sana kwenye petrol station

    Kaka naunga mkono hii sheli hutumia sikuzote nahili hata mm nilishtuka tena dada huyohuyo anatumbo kubwa hivi.
  11. sostenes mbwelwa

    Nini Mchango wa Msanii Kama Wema Wakati wa Harakati kama za Leo?

    Mchango wa wema kwa sasa unaweza usijulikana, lkn pia lazima muelewa kwamba kila mtu anayo haki ya kuumini siasa katika mulengo anao ona yeye ni sahii bila kupingwa. Hili linakuja kwakuwa inchi hii ipo kidemocracy.Kwa upande wa wema kwenda Ccm, nimanufaa kwa chama kwakuwa namba imeongezeka...
Back
Top Bottom