Recent content by Sossi

  1. Sossi

    JamiiForums Tanzania Taifa la Israel ndio taifa ambalo haliamini Ukristo na habari za Yesu. Pia wengi wao hawaamini Uislam hata Ukristo

    Wayahudi wanabarikiwa na Wakristo na sio Mungu?
  2. Sossi

    JamiiForums Tanzania Taifa la Israel ndio taifa ambalo haliamini Ukristo na habari za Yesu. Pia wengi wao hawaamini Uislam hata Ukristo

    Ukitaka kuwajua na wengine wanavyojipendekeza fuatilia suala la bandari, kwa kujipendekeza tu Mkrito haoni ndani wapo wenyewe vinara.
  3. Sossi

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wilaya ya Moshi Mjini afariki dunia akiwa guest house

    Hakuna anayekwenda guest kumridhisha mwenzake,kila mtu anakuwa na shauku anachokitaka.
  4. Sossi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

    Daaa!!
  5. Sossi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

    Mpaka wanawake wenzio?
  6. Sossi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

    Kuna mwanamke aliniambia,hata wao wanatamani sana wanavutiwa sana na wanaume tofauti tofauti,ila hawana namna,nilimshangaa sana naye akawa ananishangaa.Akaniambia ukimuona mwanaume mwenye mvuto zaidi ya uliyenaye lazima umtamani ,hata sisi tunapenda kubadilisha ladha.
  7. Sossi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna wakimbizi wengi toka Malawi maeneo ya Mwananyamala

    Kwahiyo umeamua kujichoma au? Ngoja tuja tufanye kazi,huwezi ukawa unafanya biashara nchi za watu bila kibali.
  8. Sossi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna wakimbizi wengi toka Malawi maeneo ya Mwananyamala

    Mnhuu Kiswahili kipo waaaapi Malawi? Hii kamba bwasheee
  9. Sossi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna wakimbizi wengi toka Malawi maeneo ya Mwananyamala

    Gondwe Mahundi Kawonga Nyirenda Nyoni Hawa wote ni Watanzania wahamiaji waliotokea Malawi.
  10. Sossi

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Fredrick Shoo: Tusiwagawe watu kwa misingi ya dini

    Wafike tu ila waje na mabinti wengi tuchanganye damu,CCM hoyee
  11. Sossi

    JamiiForums Tanzania Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

    Fitna za kisiasa nchi hii zimeasisiwa na nani?
  12. Sossi

    JamiiForums Tanzania Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Nadhani huu ni utaratibu waliojiwekea CCM, hakufanya hivyo kwa hiari
Back
Top Bottom