Kuzungumza siyo kutenda. Oginga na Magufuli wana maisha yao binafsi kama binadamu. Kama jambo hilo lipo mbona balozi hajatoa tamko. Wakenya kama wanagawanyika kwa misingi ya ukabila na ukora wasitumie Tanzania kama kichaka maana sisi hatujazoea mambo machafu kama hayo
Matitizo ya Wakenya wayamalize wenyewe. Nani asiyejua mikakati ya wakikuyu kuhodhi kila kitu na kudhalisha makabila mengine. Tanzania isiwe jalala la Wakenya kutupia takataka zao. Mkumbuke kuwa hata Moi alipotikiswa na jeshi 1982 na kundi dogo la wanajeshi wa kabila la Waluo kukimbilia Tanzania...
Acheni JPM afanyekazi zake. Wale watakaoguswa watachukia na kumpinga na hata kulalama na kutoa kashfa. Wale watakaomuelewa watampa hongera. Kufoji in kosa la jinai tena uwizi wa mchana. Huwezi kutumia matatizo ya mwaka 1970 kutetea uchafu wa mwaka 2010, maenddleo tunayotaka inategemea elimu na...
Kama Wachaga walikuwa wanapeleka maendeleo kwao kwa fedha za serikali. Wabunge walishindwa nini kuhoji hali hiyo? Kazi ya mbunge ni kusimamia na kupeleka maendeleo kwao kama mtu alishindwa aacha kuwalaumu Wachaga
Mijadala kama hii inagusa makabila yana athari zake. Wachaga ni Watanzania wana haki kuitumikia nchi bora wana sifa za elimu. Mbunge kama Maige tena mtu aliyewahi kuwa Waziri anapozusha lugha ya aina hizi maana analeta mgawanyiko na anapandikiza sumu inayoweza kuua hata ndugu yake. Nawashauri...
Kama una bifu na Dr. Norman Sigala mmalizane wala usiwahusushe wengine kwenye vita vyenu kwenye mitandao ya kijamii huo ni uhalifu. Kwanza jina lako haijulikani na hujui siasa. Hata hao mawaziri aliowateua JPM siyo wote wanampenda. Mwache Sigala azungumze
Miaka na miaka ni vita tu wao amani wataiona lini? Libya walikuwa na ustawi leo kula yao shida tupu. Watu wazima na akili wanashindwaje kupima jema na baya hadi wachonganichwe. Waarabu wana laana na ujuaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.